Radio Tadio

Biashara

27 September 2023, 16:22

Usimamizi mbovu wapelekea biashara nyingi kufa

Usimamizi wa biashara nyingi umekuwa ni changamoto na sababu kubwa inayochangia kuanguka kwa asilimia kubwa ya biashara hizo. Na Mindi Joseph. Usimamizi wa Biashara kwa wafanyabiasha imetajwa kuwa bado ni changamoto inayochangia kuanguka kwa asilimia kubwa ya biashara. Hayo yamebainishwa…

22 September 2023, 5:17 pm

Serikali yaombwa kuweka mazingira mazuri kwa wafanyabiashara Bunda

Wafanyabiashara kupitia TCCIA wameiomba serikali kuweka mazingira rafiki na wezeshi ya kufanya biashara hasa kwa wafanyabiashara waliopanga kwenye majengo ya Umma kama vile stendi na sokoni. Na Adelinus Banenwa. Wafanyabiashara kupitia TCCIA wameiomba serikali kuweka mazingira rafiki na wezeshi ya…

22 September 2023, 17:01

Wafanyabiashara Pemba walalamikia kodi kubwa

Wafanyabiashara kisiwani Pemba wameiomba serikali kuwapunguzia kodi ili kuweza kunusuru biashara zao. Na Is-haka Mohammed. Wafanyabiashara kisiwani Pemba wamedai kuwepo kwa kodi kubwa kunatishia uhai wa biashara zao na kuiomba serikali kuangalia upya hali ya kodi wanazotoza ili kunusuru hali hiyo…

21 September 2023, 12:10

Wajasiriamali waaswa kujitangaza kupitia maonesho ya Pangani.

Ni nafasi pekee kwa wajasiriamali kutambulika na mabenki na fursa ya kupata mikopo.   Na Mwandishi wetu. Wajasiriamali wameaswa kushiriki kwenye Maonesho ya Biashara yanayoendelea kwenye Viwanja vya Bomani katika Wilayani Pangani ili kutangaza biashara zao. Meneja wa Benki ya…

19 September 2023, 17:18

Wafanyabiashara Majengo wapongeza kuimarika kwa usafi

Usafi katika Soko hilo umesaidia kuendelea kuepukana na Magonjwa mbalimbali ya Mlipuko yatokanayo na uchafu. Na Mindi Joseph.Wafanyabiashara katika soko kuu la Majengo wamesema hali ya usafi imeimarika katika soko hilo kufuatia kuwepo kwa eneo maalum la kuweka takataka. Baadhi…

14 September 2023, 16:58

Madiwani Kibondo walia na wafanyabiashara wanaoficha mafuta

Wakati wananchi na watumiaji wa vyombo vya moto Nchi wakiendelea kuteseka na uhaba wa mafuta kwenye vituo vya mafuta huko Kibondo madiwa wameeleza kuwa wanaoficha mafuta ni uhujumu uchumi. Na, James Jovin Madiwani katika halmashauri ya Wilaya ya Kibondo Mkoani…

13 September 2023, 13:07

Wafanyabiashara watakiwa kutoa stakabadhi za EFDs Kigoma

Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA imewataka wafanyabiashara kuendelea kutoa stakabadhi za EFD kwa mujibu wa sheria ili serikali iweze kupata mapato kwa maendeleo ya nchi. Na, Lucas Hoha. Wafanyabiashara mkoani Kigoma wameaswa kutoa stakabadhi (risiti) za mashine ya kielektroniki EFD…

11 September 2023, 5:01 pm

DC Mbeya awatoa hofu wananchi uhaba wa mafuta

Kumekuwa na hofu kubwa kwa watanzania juu ya uhaba wa mafuta nchini ,hofu kubwa kupanda kwa bei ya nauli endapo kutakuwa na na uhaba wa mafuta nchini by samweli mpogole Mkuu wa wilaya ya Mbeya Mh Beno Malisa amewatoa hofu…

4 September 2023, 10:20

ASAS akubali kuwa Mlezi wa Machinga

Na Frank Leonard MFANYABIASHARA Salim Asas kutoka mkoani Iringa  amekubali kupewa hadhi ya umachinga katika tukio lilikowenda sambamba na kuitikia wito wa kuwa mlezi na mwanachama wa Shirikisho la Umoja wa Machinga Tanzania (SHIUMA). Katika tukio hilo lililofanyika katika soko la…