Radio Tadio

Biashara

1 May 2026, 15:39

TASA yatambulisha mradi wa mazingira, usawa wa kijinsia Mtwara

TASA yazindua mradi Mtwara kuwajengea uwezo wanawake na vijana katika utunzaji wa mazingira na usawa wa kijinsia, ikitumia sanaa kuhamasisha jamii kushiriki kikamilifu na kuacha vitendo vinavyoharibu mazingira. Na Musa Mtepa Shirika lisilo la kiserikali la Tanzania Safaty Alliance (TASA),…

27 April 2026, 23:38

Wakulima Kijiji cha Kitaya walia na wanayama wahalibifu wa Mazao

Wananchi wa Kitaya, Mtwara, walalamikia uharibifu wa mazao unaosababishwa na wanyama pori, wakiiomba serikali kuchukua hatua huku viongozi wakieleza jitihada na tahadhari zinazopaswa kuchukuliwa Na Musa Mtepa Wananchi wa Kijiji cha Kitaya kilichopo katika Kata ya Kitaya, Halmashauri ya Mji…

24 April 2026, 10:38 am

Fuime: Ni kosa kuzaa watoto na kushindwa kuwahudumia

“Niwasihi wananchi wazae watoto watakaoweza kuwahudumia” Na Anna Mhina Katika jitihada za kupunguza ongezeko la vitendo vya uhalifu jamii imetakiwa kuzingatia umuhimu wa malezi bora ya watoto watakaokuwa raia wema na wenye mchango chanya katika familia na taifa kwa ujumla.…

April 22, 2026, 3:52 pm

Uchimbaji mgodi wa Msasa kuanza baada ya ukaguzi

Shughuli za uchimbaji zitarejea mgodini hapo baada ya ukaguzi wa Wizara ya Madini kukamilika na kwamba Wachimbaji hawanabudi kuwa na subira na utulivu wakati ukaguzi huo. Na Clement Shawishi – GEITA Mkuu wa Mkoa wa Geita Martine Shigela amesema zoezi…

17 April 2026, 16:26

Simiyu kuandika historia ya umeme Mei 30

“Tunahitaji kuwa na umeme wa uhakika ambao hauwezi kuwa kikwazo hasa kwa wafanyabiara na wajasiriamali ambao shughuli zao zinahitaji nishati hiyo bila kukatika mara kwa mara ili waweze kujiongezea kipato zaidi”. Na Daniel Manyanga  Wakazi wa mkoa wa Simiyu wameiomba…

23 March 2026, 14:20

Sekondari Naliendele na siku ya hali ya hewa duniani

Wananchi wamehimizwa kuzingatia taarifa za hali ya hewa kutoka TMA ili kuboresha shughuli zao. Elimu imetolewa kwa wanafunzi Naliendele, wakihamasishwa kuwa mabalozi wa taarifa hizo kwa familia na jamii. Na Musa Mtepa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) Kanda…

24 February 2026, 11:38

Kituo cha kupozea umeme suluhisho sahihi kwa wakazi wa Simiyu

“Tunahitaji kuwa na umeme wa uhakika ili kuvutia wawekezaji wakubwa kwenye viwanda maana hatuwezi kuwa na wawekezaji wakubwa wakati huo hatuna umeme wetu wa uhakika lazima sasa juhudi zifanyike kwa namna yoyote ile”. Na,Daniel Manyanga  Wakazi wa mkoa wa Simiyu…

6 February 2026, 20:02

Lishe mbinu mojawapo kukuza ufaulu Lumemo

“Suala la lishe tumekubalina kwenye vikao na mikutano hivyo tunaendelea kukumbushana na kuhimizana” Na Katalina Liombechi Viongozi na Wananchi kata ya Lumemo katika Halmashauri ya Mji wa Ifakara wameendelea kuhamasishana kuchangia lishe mashuleni ili kuwasaidia watoto kujifunza bila vikwazo. Hayo…

31 January 2026, 15:11

Matumizi ya mkaa-Makala

Ongezeko la watu pamoja na kupanda kwa gharama za nishati mbadala kama gesi na umeme kumeongeza kwa kiasi kikubwa utegemezi wa mkaa. Na Gregory Millanzi Kwa miongo mingi, mkaa umekuwa chanzo kikuu cha nishati kwa kaya nyingi, hususani katika maeneo…