Radio Tadio

Biashara

20 October 2022, 5:11 am

Wafanyabiashara Kilimahewa Waomba Kuboreshewa Miundombinu

MPANDA Wafanyabiashara wa soko la kilimahewa Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi wameuomba uongozi wa halamshauri hiyo kuboresha miundombinu katika soko jipya la kawalioa. Wakizungumza na Mpanda fm wafanyabiashara hao wamesema  kuwa licha ya kuwepo kwa taarifa ya kuhamia katika soko…

14 October 2022, 5:51 am

Wajasiriamali Walalamikia Wateja Wasiowaaminifu

  MPANDA Wajasiriamali Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi wamelalamikia Tabia isiyofaa inayofanywa na baadhi ya wateja ya kuchukua bidhaa kwa mkopo na kuchelewa kuwalipa jambo ambalo linarudisha nyuma maendeleo yao kiuchumi. Wakitoa malalamiko hayo wakati wakizungumza na kituo hiki wajasiliamali…

15 September 2022, 10:06 pm

Machinga Walia na Changamoto za Mikopo ya Halmashauri

KATAVI Wajasiliamali wadogo wadogo maarufu kama machinga Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi wamezungumzia changamoto wanazokutana nazo katika utoaji wa mikopo katika vikundi. Wameyasema hayo wakati wakizungumza na Mpanda Radio Fm, na kubainisha sababu zinazopelekea baadhi ya vikundi kutopata mikopo baada…

7 September 2022, 7:12 am

EWURA Yatangaza Kushuka Kwa Bei Ya Mafuta Hapa Nchini

MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini ambapo bei hizo zimeanza kutumika kuanzia leo Septemba 7, 2022. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka…

25 May 2022, 10:24 am

Wafanyabiashara 1800 Rungwe wanufaika na mafunzo.

  RUNGWE-MBEYA NA:BETRIDA ANYEGILE Wafanyabiashara elfu moja na mia nane kutoka kata takribani kumi Wilayani Rungwe  Mkoani Mbeya wamepatiwa mafunzo ya urasimishaji biashara na  Mpango wa kurasimisha rasirimali na biashara Tanzania ( MKURABITA). Akizungumza na vyombo vya habari katika kufunga…