Radio Tadio

Biashara

21 Septemba 2023, 12:10 um

Wajasiriamali waaswa kujitangaza kupitia maonesho ya Pangani.

Ni nafasi pekee kwa wajasiriamali kutambulika na mabenki na fursa ya kupata mikopo.   Na Mwandishi wetu. Wajasiriamali wameaswa kushiriki kwenye Maonesho ya Biashara yanayoendelea kwenye Viwanja vya Bomani katika Wilayani Pangani ili kutangaza biashara zao. Meneja wa Benki ya…

19 Septemba 2023, 5:18 um

Wafanyabiashara Majengo wapongeza kuimarika kwa usafi

Usafi katika Soko hilo umesaidia kuendelea kuepukana na Magonjwa mbalimbali ya Mlipuko yatokanayo na uchafu. Na Mindi Joseph.Wafanyabiashara katika soko kuu la Majengo wamesema hali ya usafi imeimarika katika soko hilo kufuatia kuwepo kwa eneo maalum la kuweka takataka. Baadhi…

14 Septemba 2023, 16:58

Madiwani Kibondo walia na wafanyabiashara wanaoficha mafuta

Wakati wananchi na watumiaji wa vyombo vya moto Nchi wakiendelea kuteseka na uhaba wa mafuta kwenye vituo vya mafuta huko Kibondo madiwa wameeleza kuwa wanaoficha mafuta ni uhujumu uchumi. Na, James Jovin Madiwani katika halmashauri ya Wilaya ya Kibondo Mkoani…

13 Septemba 2023, 13:07

Wafanyabiashara watakiwa kutoa stakabadhi za EFDs Kigoma

Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA imewataka wafanyabiashara kuendelea kutoa stakabadhi za EFD kwa mujibu wa sheria ili serikali iweze kupata mapato kwa maendeleo ya nchi. Na, Lucas Hoha. Wafanyabiashara mkoani Kigoma wameaswa kutoa stakabadhi (risiti) za mashine ya kielektroniki EFD…

11 Septemba 2023, 17:01

DC Mbeya awatoa hofu wananchi uhaba wa mafuta

Kumekuwa na hofu kubwa kwa watanzania juu ya uhaba wa mafuta nchini ,hofu kubwa kupanda kwa bei ya nauli endapo kutakuwa na na uhaba wa mafuta nchini by samweli mpogole Mkuu wa wilaya ya Mbeya Mh Beno Malisa amewatoa hofu…

4 Septemba 2023, 10:20 mu

ASAS akubali kuwa Mlezi wa Machinga

Na Frank Leonard MFANYABIASHARA Salim Asas kutoka mkoani Iringa  amekubali kupewa hadhi ya umachinga katika tukio lilikowenda sambamba na kuitikia wito wa kuwa mlezi na mwanachama wa Shirikisho la Umoja wa Machinga Tanzania (SHIUMA). Katika tukio hilo lililofanyika katika soko la…

25 Agosti 2023, 9:08 mu

Bei ya nafaka yapanda Geita

Kupanda kwa bei ya nafaka imechangia kupungua kwa kasi ya biashara katika soko la Nyankumbu mjini Geita.Na Adelina Ukugani- Geita Wafanyabiashara wa nafaka katika soko la asubuhi la Nyankumbu mjini Geita wamelalamikia kupanda kwa bei ya mazao hayo hali inayochangia…

21 Agosti 2023, 4:04 um

Masoko ya nje chanzo tikiti maji kuadimika nchini

Tunda la tikiti ni moja kati ya matunda muhimu sana katika afya ya mwanadamu kutokana na madini yaliyo ndani yake kama vile Calcium na vitamin A. Na Neema Shirima. Baadhi ya wafanyabiashara wa tunda la tikiti maji katika soko kuu …