Radio Tadio

Ajira

10 January 2024, 12:04 am

Ajira katika umri Mdogo zinavyo kwamisha ndoto za mabinti

Kama mwajiri atatoa madai kwamba hakufahamu kwamba mtu aliyemuajiri ni mtoto wakati wa kumpa ajira au kudai kupewa taarifa zisizo sahihi watakua na wajibu wa kuthibitisha kua ilikua sahihi kwa wao au mtu mwingine yeyote mwenye akili timamu kuamini kwamba…

12 December 2023, 9:17 pm

Leo tunaangazia Wafanyakazi wa Nyumbani

Baadhi ya wafanyakazi wa Nyumbani wamekuwa hawana uhuru na vipato vyao. Na Mwandishi wetu. Kufuatia kuwepo kwa wimbo la baadhi ya waajiri na wazazi wa wafanyakazi wa nyumbani kutokuwapa uhuru wa kipato wafanyakazi wao baadhi ya wananchi wametoa maoni yao…

29 November 2023, 3:43 pm

Uhuru wa matumizi ya kipato kwa wafanyakazi wa majumbani

Na Mariam Matundu Leo tunazungumzia wafanyakazi wa majumbani, wanawezaje kuwa huru na matumizi ya kipato chao Mariam amefanya mazunguzo na katibu wa chama cha wafanyakazi za nyumbani Chodau mkoa wa Dodoma na Ameanza kumuuliza kwanini baadhi ya wafanyakazi hao wanakosa…

22 November 2023, 8:06 am

Ridhiwani aagiza watendaji waliojitolea Iringa kuajiriwa

Na Hafidh Ally Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete amemwagiza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Iringa kuwaajiri watendaji waliokuwa wakijitolea Katika nafasi zilizotangazwa hivi karibuni. Mh. Kikwete ameyasema hayo…

8 October 2023, 9:24 am

CCWT, benki kuingia makubaliano ya kukopesha wakulima, wafugaji

Vijana wasomi nchini wametakiwa kubadili fikra za kuendelea kusubiri kuajiriwa serikalini na badala yake wachangamkie fursa za ajira ┬ázaidi ya 500,000 zilizopo kwenye sekta ya kilimo na ufugaji. Na Alex Sayi Chama Cha Wafugaji Tanzania CCWT kimebainisha kuwa kinaendelea na…

21 September 2023, 16:17

Walimu 20 Mbeya kunufaika na mafunzo, kupatiwa ajira

Kutokana na vijana wengi kuwa na taaluma za fani mbalimbali bado suala la ajira limekuwa changamoto kwa makundi mbalimbali ya vijana hivyo wadau wanapaswa kuangalia hilo hasa walio kwenye sekta binafsi kutoa fursa ya ya ajira kwa vijana hao Na…