Radio Tadio

Ajira

25 July 2026, 13:58

Wamiliki matrekta wapongeza polisi Kilombero

Wamiliki na madereva wa matrekta na power tiller tarafa ya Kidatu wilayani Kilombero wamepongeza jeshi la polisi kwa mafunzo ya usalama barabarani, huku wakipokea maelekezo ya kujiorodhesha ili kurahisisha utoaji wa mafunzo na leseni katika eneo lao. Na: Isidory Mtunda…

23 July 2026, 08:54

Halmashauri 3 zapata hati safi Kigoma

Mkuu wa Mkoa Kigoma Balozi Sirro ameutaka uongozi katika Halmashauri za Mkoa kutosita kuwachukulia hatua watendaji wanaosababisha hoja sambamba na wakusanya mapato wasio waadilifu wanaosababisha upotevu wa fedha za makusanyo. Na Mwandishi wetu Kwa mujibu wa  Taarifa ya Mdhibiti na…

15 July 2026, 16:58

Watumishi wakumbushwa matumizi sahihi ya mfumo wa PEPMIS Kasulu

Mfumo wa Upimaji wa Utendaji Kazi kwa Watumishi wa Umma (PEPMIS) ni mfumo wa kidijitali unaotumika kuwasaidia watumishi wa umma kupanga, kutekeleza, kufuatilia na kutathmini utendaji wao wa kazi na mfumo huu umeanzishwa ili kuongeza uwajibikaji, uwazi na ufanisi katika…

15 July 2026, 09:02

Enabel yakabidhi madarasa yanayohamishika Kasulu

Elimu ni msingi muhimu wa maendeleo ya mtu binafsi na taifa kwa ujumla na kupitia elimu, jamii hupata maarifa, ujuzi na maadili yanayochangia maendeleo ya kiuchumi, kijamii na kisiasa, utekelezaji wa miradi ya elimu unahitaji rasilimali nyingi, utaalamu na ushirikiano…

20 June 2026, 22:04

Zanzibar yazindua awamu ya pili kampeni msaada wa kisheria

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Hussein Ali Mwinyi, amesema Serikali itaendelea kuimarisha huduma za msaada wa kisheria ili kuhakikisha wananchi wanapata haki kwa wakati, kwa usawa na kwa ufanisi. Na Berema Nassor Akizungumza katika uzinduzi wa…

8 June 2026, 09:57

Mwigulu: “Wananchi Iringa wasiuziane ardhi kiholela”

Viongozi mliopo hapa waambieni wananchi hivi sasa masuala ya ardhi wasifanye kwa kuaminiana, wawe wanaandikishana kwa mikataba na tena katika ofisi za kijiji ili watambulike. Na Hafidh Ally Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mwigulu Nchemba amewataka watumishi…

May 12, 2026, 3:49 pm

UNDP, SIDO yawanoa wafugaji samaki Kibondo

Kufikia mafanikio hayo ni juhudi kubwa ambazo wadau wamezifanya ikiwemo halmashauri ya wilaya ya Kibondo, Shirika la UNDP pamoja na shirika la kuhudumia viwanda Vidogo SIDO Na Samwel Masunzu- Kibondo, KIGOMA Baadhi ya wafugaji wa samaki wilayani Kibondo mkoani Kigoma…

12 February 2026, 3:44 pm

Wanawake watumia kilimo cha nyasi kuukabili ukame

Na Isack Dickson Katika wilaya ya Simanjiro, mabadiliko ya tabianchi yamesababisha vifo vya zaidi ya mifugo 92,000 kwa mwaka mmoja pekee,lakini katikati ya changamoto hiyo, kundi la wanawake mashujaa, kwa msaada wa Baraza la Wanawake Wafugaji (PWC) na mashirika mengine…

21 January 2026, 16:48

Zaidi ya bilioni 44 kukusanywa 2026/2027 Kasulu

Mkuu wa Wilaya ya Kasulu, Kanali Isaac Mwakisu amewataka watumishi wa Halmashauri hiyo ili kuhakikisha wanasimamia na kushirikiana kikamilifu katika kubuni na kuimarisha vyanzo mbalimbali vya mapato. Na Hagai Ruyagila Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma imekisia kukusanya na…