Radio Tadio

Ajali

4 September 2023, 9:44 am

Watoto Wawili Familia Moja Wafariki kwa Ajali ya Moto

KATAVI. Watoto wawili wa familia moja Florida Froline (3) na Ferisian Froline (3) wamefariki dunia Baada ya nyumba waliokuwemo kuungua Moto mtaa wa Tulieni kata ya Nsemulwa manispaa ya Mpanda mkoani Katavi. Shuhuda wa tukio hilo wameeleza kuwa watoto hao…

August 23, 2023, 4:53 pm

Watoto wafariki Tinde wakichezea gari

Watoto wawili wanaokadiriwa kuwa na umri wa miaka kati ya 6 na 7 wamefariki dunia kwa kukosa hewa wakichezea gari katika Kitongoji Ng’ung’ula Kijiji cha Jomu kata ya Tinde wilaya ya Shinyanga. Mwenyekiti wa Kijiji cha Tinde, Juma Warioba ameiambia…

8 August 2023, 12:39 pm

Moto wateketeza hotel Pongwe

Mkuu wa mkoa wa Kusini Unguja amewataka zimamoto kutoa elimu ya kukabiliana na majanga ya moto kwa wananchi. Na Fatuma Mkuu wa Mkoa Kusini Unguja Rashid Hadid Rashid  ameziagiza mamlaka ya zima moto, shirika la umeme na idara ya maafa  kuandaa utaratibu…

6 August 2023, 10:05 pm

Ghala la pamba la 4C lateketea kwa moto Bunda

Ghala la pamba linalomilikiwa na kampuni ya 4c limeteketea kwa moto huku likiwa na mzigo wa pamba ndani, hadi sasa haijulikani hasara ni kiasi gani. Na Adelinus Banenwa Katibu tawala wilaya ya Bunda Mhe Salumu Mtelela amesema hadi sasa haijulikani…

1 August 2023, 8:11 pm

Mwili mwingine wapatikana waliozama Ziwa Victoria

Mwili mwingine wa muumini wa kanisa la KTMK umepatikana jioni hii na kufanya jumla ya waliopatikana kufika wawili huku vifo vikifikia vitatu kati ya watu 28 waliokuwa kwenye mitubwi iliyozama. Na Adelinus Banenwa Katika zoezi la utafutaji wa miili ya…