Radio Tadio

Afya

13 Julai 2023, 4:02 um

Waziri Ummy: Sitarajii kusikia wananchi wanalalamikia dawa

Serikali mkoani Simiyu kuendelea kuboresha utoaji wa huduma za afya ili kupunguza malalamiko ya wananchi na wagonjwa mkoani hapa. Na Alex Sayi Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amesema kuwa hatarajii kuona wananchi na wagonjwa wakilalamikia uhaba wa dawa  kwa…

13/07/2023, 13:25

Wataalam MSD watembelea Hospitali ya Kanda Chato

Hospitali ya Rufaa ya Kanda Chato imeendelea kuwa mkombozi mkubwa kwa wananchi wanaozunguka wilaya hiyo huku changamoto mbalimbali zinazoikabili ikiwemo dawa na vifaa tiba zikiendelea kupatiwa ufumbuzi kwa haraka. Na Mrisho Sadick Wataalam kutoka Bohari ya Dawa (MSD) wamefika katika…

11 Julai 2023, 5:45 um

Wizara ya Afya Yawajengea uwezo Wanahabari Iringa.

Na Adelphina Kutika Wizara ya Afya imeendelea kuwajengea uwezo Waandishi wa Habari nchini kuhusiana na masuala ya chanjo ili waweze kuelimisha jamii. Afisa Program ya chanjo wa mpango wa Taifa wa chanjo kutoka Wizara ya Afya Lotalis Gadau amesema Wizara…

11/07/2023, 16:45

Wahudumu wa Afya nchini watakiwa kupunguza semina

Aidha Waziri Ummy amewataka wataalamu hao wa afya kufanya kazi zao kwa weledi na kuzingatia kazi zao za tiba. Na Fred Cheti. Waziri wa Afya, Mhe Ummy Mwalimu amewataka wataalamu wa afya nchini kupunguza semina ili kuwa na muda zaidi…

10/07/2023, 20:11

Uislam wazungumzia lishe na virutubisho

Suala la kufuata utaratibu wa mlo kamili ni la muhimu ili kuimarisha afya, ili kutimiza azma ya serikali kuandaa wataalam wabunifu wa kizazi kinachokuja, viongozi mbalimbali wa kiserikali na kiimani wameendelea kusisitiza kuwa lishe si suala la hiari, wanaowaza hivyo…

10 Julai 2023, 10:30 mu

Kituo cha afya Kazima chaanza kutoa huduma

MPANDA Mkuu wa mkoa wa Katavi Mhe Mwanamvua Mrindoko amefanya ziara ya ukaguzi wa miradi halmashauri ya manispaa ya Mpanda. Moja ya miradi iliyotembelewa ni kituo cha afya Kazima kilichojengwa kwa fedha za tozo za miamala ya simu. Katika ziara…