Afya
11 September 2023, 12:11
Zaidi ya watoto elfu 99 kupata chanjo ya polio Karagwe
Watoto 99,159 wilayani Karagwe watakuwa miongoni mwa watoto 3,250,598 wenye umri wa chini ya miaka minane watakaopata chanjo ya kinga ya polio katika kampeni ya chanjo kitaifa Septemba 21-24 mwaka huu. Na. Tumaini Anatory Kwa mujibu wa mratibu wa chanjo…
10 September 2023, 20:53
Wazee watakiwa kuchangamkia bima ya afya
Na. Jovinus Ezekiel Missenyi Wazee katika kata ya Bugandika wilayani Missenyi mkoani Kagera wametakiwa kujiunga na bima ya afya ya CHF iliyoboreshwa kwa lengo la kuwawezesha kunufaika na huduma za matibabu. Akiongea na wazee wa kikundi cha wazee Bikolw’engonzi kilichopo katika…
9 September 2023, 1:37 pm
Idara ya Tiba Pemba: Endeleeni kutumia vyandarua kumaliza ugonjwa wa malaria
Ugonjwa wa malaria bado upo visiwani Zanziabr hivyo jamii inatakiwa kutumia vyandarua vinavyotolewa na serikali kupitia Wizara ya Afya kitengo cha malaria kwa kushirikiana na wahisani mbalimbali wa maendeleo kwa ajili ya kujifunika na sio kuvifunga kwenye bustani za bogaboga …
8 September 2023, 1:43 pm
Vijana waaswa kuacha matumizi ya madawa ya kulevya ili kuepuka utegemezi kwa fam…
Utegemezi kwa familia imetajwa kuwa moja ya sababu inayosababishwa na matumizi ya madawa ya kulevya kwa vijana. Na Daniel Magwina- Geita Kufuatia wimbi la vijana kuingia katika matumizi ya madawa ya kulevya baadhi ya wananchi mkoani Geita mapema leo hii,…
8 September 2023, 13:34
Zaidi ya watoto 884,500 kupatiwa chanjo ya polio Kigoma
Na, Josephine Kiravu Zaidi ya watoto 884,500 walio chini ya miaka 8 wanatarijiwa kufikiwa na kupatiwa chanjo ya Polio ambayo itaanza kutolewa nyumba kwa nyumba kuanzia septemba 21hadi 24 Mkoani Kigoma. Akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo kwa kamati ya…
8 September 2023, 9:01 am
Kilio kwa wananchi wa Mjini Kiuyu kutotumika jengo lao la kituo cha Afya
Wananchi wa Mjini Kuyu Wilaya ya Wete wakililia miaka 12 tangu kujengwa kituo cha Afya katika kijiji chao kwa lengo la kusaidia kwa mama wajawazito kupata huduma kwa wakati ila bado seriakali hawajakitumia kituo hicho kama wanavyohitaji wananchi hao. Na…
6 September 2023, 13:47
Wajawazito wahimizwa kutumia dawa kinga
Kwa mujibu wa wataalam wa afya, wanasisitiza suala la akina mama kupata dawa kinga kwani zimekuwa na umuhimu kwa afya ya mama na mtoto. Na Naima Chokela. Imeelezwa kuwa upo umuhimu kwa mama mjamzito kupatiwa dawa kinga katika kipindi cha…
6 September 2023, 12:09
Wajawazito watakiwa kuzingatia chanjo ya pepopunda
Kwa mujibu wa wataalamu wa Afya wanasema kuwa iwapo mama mjamzito atazikosa chanjo hizo itachangia kupata madhara makubwa na kumuathiri mtoto aliyepo tumboni huku wakishauri kufika mapema katika vituo vya Afya pale tu Mtu atakapohisi dalili za ujauzito. Na Richald…
5 September 2023, 15:10
Jamii yatakiwa kufuata kanuni na taratibu ili kuepuka usugu wa dawa
Matumizi holela ya dawa husababisha ugumu wa kutibu magojwa kutokana na mwili kuwa na usugu wa dawa. Na David kavindi. Jamii imeaswa kufuata kanuni na taaratibu za matumizi sahihi ya dawa ili kupeuka changamoto ya usugu wa dawa hizo mwilini. …
5 September 2023, 13:57
Wanaume wahimizwa kuhudhuria kliniki na wake zao
Miongoni mwa sababu zinazotajwa kusababisha mwitikio mdogo kwa wanaume kuwasindikiza wenza wao kliniki ni pamoja na kukabiliwa na majukumu ya kila siku jambo ambalo linaweza kutatulika iwapo kila mmoja atatambua umuhimu wa kuhudhuria kliniki na mwenza wake. Na Richard Ezekiel.…