Radio Tadio

Afya

7 August 2023, 13:28

Utandawazi, mitindo ya maisha vyatajwa kuathiri unyonyeshaji

Maadhimisho ya wiki ya unyonyeshaji yamezinduliwa Agosti Mosi mwaka huu na kilele chake ni Agosti 08. Na Mariam Msagati. Baadhi ya wananchi jijini Dodoma wameelezea kuwepo kwa sababu mbalimbali zinazochangia baadhi yao kushindwa kunyonyesha watoto ipasavyo. Wakizungumza na Dodoma TV…

5 August 2023, 7:54 pm

Wanawake kujifungulia barabarani ndio basi tena Mbogwe

Changamoto ya wanawake kujifungulia majumbani na barabarani huenda ikamalizika katika kata ya Ilolangulu wilayani Mbogwe baada ya serikali kujenga wodi. Na Mrisho Sadick: Wanawake wa kata za Ilolangulu , Isebya na Ikobe wilayani Mbogwe mkoani Geita wameondokana na adha ya…

4 August 2023, 3:39 pm

Afariki, mwingine hoi kwa dawa za nguvu za kiume Kahama

Mwanaume aliyejulikana kwa jina la Hosam Elias mkazi wa Bukondamoyo kata ya Mhungula Mjini Kahama amefariki dunia huku mwenzake (jina limehifadhiwa) akinusurika kufa baada ya  kunywa dawa zilizodaiwa kuongeza nguvu za kiume kwa mganga wa kienyeji aliyejulikana kwa jina la…

3 August 2023, 4:28 pm

Wahandisi Geita mji watakiwa kusimamia miradi

Katika kukabiliana na changamoto ya huduma za afya katika Kata ya Nyankumbu, serikali kupitia Halmashauri ya mji wa Geita imefanya upanuzi kwa kuongeza majengo nakununua Gari la kubebea wagonjwa. Na Mrisho Sadick: Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa…

25 July 2023, 1:59 pm

John Gabriel aeleza changamoto anazopitia baada ya kupata ajali

Mwanaume  huyu anayejulikana kwa jina la  John Gabriel  Mandale mkazi wa kata  ya Shunu  wilayani Kahama mkoani Shinyanga amejikuta anapitia  matatizo makubwa baada ya  kupata ajali  na kupasuka  kichwa   alipokuwa akitekeleza  majukumu yake ya kikazi huko  mkoani Geita Mgodini  hali…

24 July 2023, 14:04

Mwarobaini vifo vya wajawazito Bahi wapatikana

Hatua hii ni muhimu ambapo takwimu zinazokusanywa katika vituo vya kutolea huduma za afya nchini zinaonesha vifo vitokanavyo na uzazi vimeendelea kupungua kutoka vifo 1,640 mwaka 2020 hadi vifo 1,580 mwaka 2021. Na Seleman Kodima. Vifo vya akina mama wajawazito…