Radio Tadio

Afya

20 Septemba 2023, 6:18 um

Watoto elfu 34 kupatiwa chanjo ya polio halmashauri ya Busokelo.

watoto wenye mahitaji maalum pia wanahaki ya kupata hii chanjo ya polio hivyo msiwafungie ndani wapeni nafasi ya kupata chanjo. Na Sabina Martin – RungweWazazi na walezi katika halmashauri ya Busokelo wilayani Rungwe mkoani Mbeya wametakiwa kutowafungia watoto wenye mahitaji…

20/09/2023, 14:55

Wajawazito waonywa kuepuka matumizi ya Pombe

Ili kupunguza vitendo vya matumizi ya pombe na dawa za kulevya katika jamii hususani kwa wajawazito wataalamu wa afya  wanaendelea kuhamasisha jamii kuachana na suala hilo kwani lina athari kubwa kiafya. Na Katende Kandolo. Akina mama wajawazito wametakwa kuachana na…

19/09/2023, 17:01

Mapinduzi A waomba nyumba ya daktari wa zahati yao

Hata hivyo Serikali inawataka wawekezaji wote nchini kushiriki kikamilifu  katika kutatua  changamoto zinazo  wakabili wananchi walio karibu na mradi wa mwekezaji huyo. Na Victor Chigwada. Wananchi wa mtaa wa mpinduzi A wameiomba Serikali na wadau wa afya kuwasaidia kupatikana wa…

19 Septemba 2023, 3:44 um

Kyerwa kuwafikia watoto 95,454 chanjo ya polio

Watoto  95,454  wenye umri kuanzia 0 hadi miaka 8 wilayani Kyerwa watapatiwa chanjo ya Polio kuanzia September  21-24 mwaka huu. Akizungumza na Redio Karagwe Fm  Sauti ya Wananchi September 19 mwaka huu, Mratibu wa Elimu ya Afya kwa Umma (DPH…

19 Septemba 2023, 12:46

Vikundi vya usafi vyaomba ushirikiano maeneo wanayofika kufanya usafi

Mazingira ni sehemu yoyote inayomzunguka binadamu na mazingira hayo ili kuepusha athari ikiwemo magojwa ya mlipuko ikiwemo kipindupindu hayana budii kuyalinda kwa kuhakikisha yanakuwa safi wakati wote. Na Sadoki Mwaigaga Wafanyabiashara wa soko la Sido jijini Mbeya wameshauriwa kutoa ushirikiano…