Afya
29 August 2023, 1:29 pm
Huduma ya kuzalisha wajawazito yarejea kisiwani Tumbatu
Kurejea kwa huduma za kuzalisha akina mama wajawazito Tumbatu kutawaondoshea usumbufu akina mama hao kisiwani humo. Mwandaaji ni Maulid Juma na Msimulizi ni Mwanahawa Hassan.
28 August 2023, 12:57 pm
Jamii yashauriwa kuzingatia Zaidi matumizi ya Asali
Asali inafahamika kwa muda mrefu kama chakula muhimu ambacho pia kinasaidia sana katika kupambana na magonjwa mbalimbali na matatizo yatokanayo na uzee, kwa mujibu wa tafiti mpya za wataalamu wa madawa na vifaa tiba, jarida la World News limeandika kuwa…
28 August 2023, 11:58 am
Jamii yatakiwa kutambua umuhimu wa kunde kiafya
Kwa mujibu wa taarifa kutoka Shirika la Kilimo na Chakula Duniani FAO, imesema zao la Kunde na vyakula vyote vya jamii ya kunde ni nafuu na vitamu huku vikiwa na kiwango kikubwa cha protini na hivyo huweza kutumiwa badala ya…
25 August 2023, 17:24
Jamii mkoani Kigoma yatakiwa kujikinga na magonjwa ya mlipuko
Magonjwa ya mlipuko mkoani Kigoma yanaweza kudhibitiwa iwapo hatua mbalimbali zitachukuliwa na jamii. Jamii mkoani Kigoma imetakiwa kushirikiana vyema na wadau wa sekta ya afya ili kuondoa tatizo la magonjwa ya mlipuko ambayo yamekuwa yakijitokeza mara kwa mara. Mganga Mkuu…
21 August 2023, 5:55 pm
Jukumu la afya ya uzazi si la mama peke yake-Dkt. Festo Mnyiriri
Na Zaituni Juma Wanaume katika Halmashauri ya Manispaa ya Tabora wamekumbushwa kujali afya ya mama mjamzito na hata baada ya kujifungua. Zaituni Juma ametuandalia taarifa ambayo imelenga ushiriki wa wazazi wote wawili (baba na mama) kwenda kliniki kwa pamoja hasa …
21 August 2023, 5:09 pm
Yafahamu madhara ya kuweka simu karibu na kichwa wakati wa kulala
Kwa mujibu wa chapisho la Ukurasa wa gazeti la Mwananchi la Febrauari 19,2021 linasema kuwa, Madaktari bingwa wa Ubongo na Mishipa ya fahamu na wale wa Magonjwa ya Saratani wanaonya kuwa kulala karibu na simu kuna madhara kiafya na kunaweza…
20 August 2023, 9:58 pm
Watoa huduma afya ya kinywa na meno waja na mpango
Afya ya kinywa na meno ni muhimu katika maendeleo ya taifa, kwani bila ya afya njema hata utendaji hautawezekana. Na Zubeda Handrish- Geita Mganga Mkuu wa mkoa wa Geita (RMO) Omari Sukari amewataka wataalamu na watoa huduma katika kitengo cha…
18 August 2023, 6:08 am
Waliotiririsha maji taka barabarani Geita wapigwa faini
Uchafuzi wa mazingira ni kikwazo kwa maendeleo ya mitaa kwani ni chanzo pia cha magonjwa ya mlipuko. Na Kale Chongela- Geita Wakazi wawili mmoja akijulikana kwa jina la Mama Nelson wakazi wa Mtaa wa Ujamaa Halmashauri ya Mji wa Geita…
17 August 2023, 12:35 pm
Taulo za kike za kushona mkombozi kwa familia masikini
Kundi la watoto wa kike hususani maeneo ya vijijini mkoani Geita linakatisha masomo kutokana na changamoto mbalimbali ikiwemo ya hedhi. Na Mrisho Sadick: Ujuzi wa kushona taulo za kike kwa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari mkoani Geita umekuwa…
16 August 2023, 15:49 pm
TAKUKURU Mtwara yasaidia ukamilishaji wa miradi ya maendeleo
Na Musa Mtepa; Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa TAKUKURU Mkoani Mtwara katika kipindi cha mwezi Aprili -Juni 2023 imefanikiwa kuokoa Miradi ya Maendeleo ambayo awali ilikuwa kwenye mtanziko wa ukamilishaji kutokana dosari za Wazabuni katika utekelezaji wake. Akizungumza…