Radio Tadio

Afya

21 September 2023, 4:38 pm

Wajawazito watakiwa kufanya maandalizi mapema

Wataalamu wa Afya wanashauri kuwa mama mjamzito anatakiwa kuwa na maandalizi kabla ya kujifungua kwani kuna umuhimu wa kufanya hivyo ili kuepukana na madhara mbalimbali yanayoweza kutokea. Na Naima Chokela.          Ushauri Umetolewa kwa Wajawazito  kuhakikisha wanafanya maandalizi kabla ya kujifungua…

21 September 2023, 2:37 pm

WAVIU watakiwa kuzingatia matumizi sahihi ya ARV

Kwa mujibu wa wataalam wa afya wanashauri kwamba ni vema wananchi kuhakikisha wanapima afya hususani maambukizi ya virusi vya ukimwi ili waweze kujitambua na kutumia dawa kwa usahihi. Na Katende Kandolo. Watu walioathirika na maambukizi ya virusi vya UKIMWI wametakiwa…

20 September 2023, 6:18 pm

Watoto elfu 34 kupatiwa chanjo ya polio halmashauri ya Busokelo.

watoto wenye mahitaji maalum pia wanahaki ya kupata hii chanjo ya polio hivyo msiwafungie ndani wapeni nafasi ya kupata chanjo. Na Sabina Martin – RungweWazazi na walezi katika halmashauri ya Busokelo wilayani Rungwe mkoani Mbeya wametakiwa kutowafungia watoto wenye mahitaji…

20 September 2023, 2:55 pm

Wajawazito waonywa kuepuka matumizi ya Pombe

Ili kupunguza vitendo vya matumizi ya pombe na dawa za kulevya katika jamii hususani kwa wajawazito wataalamu wa afya  wanaendelea kuhamasisha jamii kuachana na suala hilo kwani lina athari kubwa kiafya. Na Katende Kandolo. Akina mama wajawazito wametakwa kuachana na…