Triple A FM

Recent posts

24 February 2024, 10:26 pm

Hivi ndivyo ajali ilivyoua 15 Arusha

Na Joel Headman. Watu 15 wamefariki dunia papo hapo mkoani Arusha katika ajali ya barabarani iliyohusisha magari matatu. Akiwa katika eneo la Kibaoni Ngaramtoni ilikotokea ajali hiyo, Kamanda wa polisi mkoa wa Arusha SACP Justine Masejo amesema ajali hiyo imetokea…

2 February 2024, 2:27 pm

Mdahalo kufanyika kata kinara kwa ukeketaji Arusha

“Vtendo vya ukeketaji nchini vimepungua lakini vimeongezeka kwa mkoa wa Arusha ambao unaongoza nchini kwa vitendo hivyo” Na. Anthony Masai. Maadhimisho ya kitaifa ya siku ya kupinga vitendo vya ukeketaji nchini yanatarajia kufanyika katika kijiji cha Olchorvosi,kata ya Musa,halmashauri ya…

1 February 2024, 7:27 pm

DSW lawajengea uwezo vijana kukabili ukatili wa kijinsia na kujitambua

“Mafunzo mliyopatiwa yakawe chachu kwa vijana wengine kujiingiza katika shughuli za uzalishaji mali ili kuondoa changamoto zitokanazo na ukosefu wa kipato” Na. Anthony Masai. Vijana zaidi ya 50 ambao ni viongozi wa vikundi vya mabadiliko katika mikoa ya Arusha na…

31 January 2024, 7:09 pm

Serikali: Hali ya umeme nchini yaanza kuimarika

“Yalikuwa ni maelekezo ya mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuhakikisha umeme unaimarika katika kipindi cha miezi sita” Na. Anthony Masai Serikali imesema hali ya upatikanaji wa nishati ya umeme nchini inaendelea kuimarika licha ya kuwepo kwa upungufu…

19 January 2024, 6:44 pm

Chande: Mabadiliko Posta lazima, dunia ya sasa ni kidijitali

“kuhusu usafirishaji wa mizigo,tumeshafungua vituo  vya utimilifu Arusha,Zanzibar,Dodoma na Dar es Salaam ili ndani ya siku mbili mtu akiwa sehemu yoyote duniani anapokea mzigo wake“ Na. Anthony Masai. Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania Bwana Maharage Chande amesema,hakuna namna ambavyo…

31 December 2023, 4:45 pm

Finland kuendelea kupiga jeki redio jamii Afrika Mashariki

Muungano wa Ufini kwa Vyombo vya Habari na Maendeleo (VIKES) umekuwa chachu ya maendeleo kidijitali kwa redio jamii nchini Tanzania, Kenya na Uganda na hivi karibuni muungano huo unaopokea fedha toka Wizara ya Mambo ya Nje ya Finland umeahidi kuendelea…

16 December 2023, 10:25 pm

Arusha City yafungashiwa virago ASFC

Niwashukuru sana vijana wangu wameonyesha kiwango kizuri dhidi ya Singida maana wao wametuzidi vitu vingi Joel Headman. Arusha Unaweza kusema ni mkono wa bye bye ulioikuta timu ya mpira wa miguu ya Arusha City baada ya kuondoshwa kwenye michuano ya…

8 December 2023, 11:16 pm

Wanachama TADIO wanufaika na mafunzo ya kusimamia mitandao

Mabadiliko ya teknolojia yanakua kwa kasi hivyo TADIO inalazimika kutoa mafunzo mara kwa mara ili kubabiliana na mabadiliko hayo Na Joel Headman Arusha Muunganiko wa redio jamii Tanzania TADIO umekamilisha mafunzo ya siku mbili kwa wadau wa redio wanachama wa…