Recent posts
13 May 2024, 11:42 am
Tulitoa muda wa kutosha kwa wanahabari kujiendeleza kwa mujibu wa sheria-Serikal…
”Serikali ilitoa muda wa kutosha kwa wanahabari kujiendeleza ili kufikia kiwango cha elimu inayotambulika kisheria” Na. Anthony Masai. Serikali ipo katika hatua za mwisho kukamilisha mchakato wa kutangaza kanuni za sheria ya huduma ya vyombo vya habari ya mwaka 2016…
2 May 2024, 4:48 pm
DSW yakutanisha wadau kuimarisha mifumo ya kuzuia ukatili wa kijinsia.
“Arusha inaonekana inaongoza katika matukio ya ukatili kwa sababu matukio mengi yanaripotiwa tofauti na mikoa mingine nchini” Na.Anthony Masai. Shirika lisilo la kiserikali la DSW lenye makao yake makuu mkoani Arusha linalotekeleza mradi wake wa SAFA wenye lengo la kuwezesha…
10 April 2024, 7:36 pm
DSW yakutanisha vijana kujadili afya ya uzazi, ukatili wa kijinsia
“Vijana vinara wa vyuo vikuu na walio nje ya shule wamekuwa msaada mkubwa kufikisha elimu kwa vijana wengine nchini” Na Anthony Masai Shirika lisilo la kiserikali la DSW lenye makao yake makuu Tengeru wilaya ya Arumeru mkoani Arusha, katika kutekeleza…
10 April 2024, 4:48 pm
Mvua zasababisha kilio kila kona jijini Arusha
Na Anthony Masai Mvua iliyonyesha kwa siku mbili mfululizo jijini Arusha imesababisha madhara hasa uharibifu wa miundombinu na makazi. Mvua kubwa zilizonyesha kwa siku mbili mfululizo zimeharibu barabara iliyokuwa ikiendelea kujengwa inayoanzia eneo la Mianzini mataa jijini Arusha hadi Ilkiding’a…
27 March 2024, 10:36 pm
Wananchi mna haki kudai uwajibikaji
Na Joel Headman Wakati taifa likisubiri kutolewa kwa ripoti ya mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali (CAG) mwishoni mwa mwezi huu au mwanzoni mwa Aprili, wananchi wametakiwa kufuatilia na kufahamu mwenendo wa rasilimali za nchi. Wito huo umetolewa…
23 March 2024, 10:17 pm
kibali cha ujenzi kutolewa kwa sharti la kupanda miti kumi jijini Arusha.
“kila mtu au taasisi inayopata kibali cha ujenzi katika maeneo ya jiji ,ipande miti kumi” Na.Anthony Masai Halmashauri ya jiji la Arusha imesisitiza kwamba itaendelea kusimamia msimamo wake wa kuhakikisha kila mtu au taasisi inayopata kibali cha ujenzi katika maeneo…
19 March 2024, 1:23 pm
Serikali inapoteza mapato kwa wanahabari kutokuwa na mikataba – JOWUTA
“Asilimia 80 ya waandishi wa habari nchini hawana mikataba ya ajira” Na Anthony Masai Chama cha wafanyakazi katika vyombo vya habari nchini (JOWUTA) kimesema wakati Serikali ikiendelea na mchakato wa kuirasmisha sekta ya habari nchini,inaendelea kupoteza mapato mengi ambayo yangetokana…
17 March 2024, 10:21 pm
Wanahabari wanawake waweka rekodi Arusha
Na Joel Headman Umoja wa kwanza wa wanawake wanahabari ngazi ya mkoa nchini umezinduliwa mkoani Arusha. Umoja huo uliopewa jina la Arusha Women in Media umezinduliwa jijini Arusha Jumamosi Machi 16, 2024. Akizungumza mwenyekiti wa umoja huo Jamila Omar amesema…
7 March 2024, 3:54 pm
madiwani wapitisha bajeti kuboresha jiji la Arusha
“vipaumbele vitakuwa katika sekta ya Elimu, Afya na Miundombinu kwani maeneo hayo ndio yanawagusa wananchi moja kwa moja” Na.Anthony Masai Baraza la Madiwani Halmashauri ya Jiji la Arusha limepitisha Bajeti ya kiasi cha shilingi Bilioni 51 kutoka katika mapato ya…
7 March 2024, 3:10 pm
Mtandao wa barabara za lami kuunganisha Arusha na mikoa jirani
“zaidi ya kilomita 152 za barabara ziko katika hatua mbali mbali za ujenzi kwa kiwango cha lami” Na.Anthony Masai Wakala wa Barabara TANROADS Mkoa wa Arusha,umebainisha jitihada zilizofanywa na Serikali ya awamu ya sita katika ujenzi wa madaraja na barabara…