On air
Play internet radio

Recent posts

6 November 2024, 8:52 am

Simulizi nzima Fountain Gate walivyopotea

Na Joel Headman – Babati Haikuwa bahati tena kwa Fountain gate kuendeleza rekodi yao ya kutopoteza mchezo kwenye uwanja wa nyumbani mpaka ilipotamatishwa na Pamba jini jana. Timu hizo zilianza mchezo kwa kushambuliana kwa zamu na kama kawaida Fountain gate…

28 October 2024, 8:28 pm

Wamebana Wameachia

Na Joel Headman Babati: Ndo ivyo bwana mchezo wa Ligi kuu ya NBC kati ya Fountain Gate na Mashujaa umetamatika hapa uwanja wa Tanzanite Kwaraa kwa sare maua ya 2-2 Fountain gate ndio wenye furaha zaidi baada ya kutanguliwa goli…

21 October 2024, 7:02 pm

Babati? Labda msije

Na Joel Headman Babati. Ndio unavyoweza kusema kuwa njia pekee itakayokunusuru na kipigo hapa Tanzanite Kwaraa Babati ni wewe kutoleta timu yako uwanjani. Maana ukiingiza tu kama utapona sana basi ni sare na waliobahatika kupata sare hapa dhidi ya Fountain…

1 October 2024, 8:25 pm

Ujumbe wa marehemu wazua ‘Utata’ Arusha

Na Joel Headman Arusha Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linafanya uchunguzi wa kifo cha mtu mmoja mkazi wa Baraa jijini Arusha aliyekutwa msituni akiwa amening’inia juu ya mti. Akitoa taarifa kwa vyombo vya habari leo, kamanda wa Polisi Mkoa…

28 September 2024, 11:14 am

Onyo kali latolewa kwa wakuu wa mikoa

Na Joel Headman Babati Mkuu wa mkoa wa Manyara Queen Sendiga amewatahadharisha wakuu wa mikoa nchini kufikiria mara mbili mbili namna watakavyoingia mkoani Manyara. Wakuu wa mikoa waliopewa onyo hilo ni wale wote wenye timu za ligi kuu kwenye mikoa…

12 September 2024, 1:45 pm

Kengold hali tete inapumulia mashine

Joel Headman Babati Timu ya mpira wa miguu ya Kengold kutoka Mbeya imeendelea kupumulia mashine kwenye ligi kuu Tanzania bara baada ya kukubali kipigo kingine toka kwa Fountain Gate fc ya Manyara. Katika mchezo huo namba 18 mzunguko wa 2…

29 August 2024, 12:39 pm

Uwanja wa AFCON Arusha kuongeza unadhifu wa jiji

Na Joel Headman Arusha Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhandisi Anthony Sanga amekakagua eneo la mradi wa Samia Arusha AFCON City (SAAC). Eneo hilo lenye ukubwa wa ekari 4,555.5 lipo Kata ya Olmot na Olasiti katika…

20 August 2024, 9:59 pm

PM Majaliwa: Madereva mnalogana?

Na Joel Headman Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameshtushwa na madai ya madereva wa Serikali kulogana ili wapate magari ya kufanyia kazi. Kauli hiyo imetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Juma Mtanda kwenye kongamano la tatu la madereva wa serikali…