Savvy FM
Savvy FM
2 September 2025, 4:48 pm
Mtendaji wa Kata ya Sakina, mkoani Arusha, anatuhumiwa kuhamisha baadhi ya fedha za miradi ya maendeleo na kuziweka kwenye akaunti yake binafsi, hali iliyosababisha kusimama kwa ujenzi wa kivuko muhimu kwa wakazi wa eneo hilo. Na Jenipha Lazaro Tuhuma hizo…
1 September 2025, 3:54 pm
Wananchi waishio katika mtaa wa Kiriki A, kata ya Olsunyai, mtaa wa JR, jijini Arusha, wameiomba serikali na mamlaka husika kuchukua hatua za haraka kudhibiti utupaji wa taka hovyo kwenye mto Burka, wakieleza kuwa hali hiyo ni hatarishi kwa afya…
1 September 2025, 3:48 pm
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe. Amos Makalla, ameanza rasmi ziara yake ya kikazi mkoani hapa kwa kutembelea taasisi mbalimbali za kidini, akianza na Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) ambapo ametoa wito kwa viongozi wa dini kuendelea kushirikiana na…
28 August 2025, 5:39 pm
Jamii za kifugaji zimetakiwa kuwathamini wanyama kazi hususani mnyama punda, ikiwa ni pamoja na kuondokana na dhana potofu zinazowanyima haki zao kama vile uchinjaji holela, kuwabebesha mizigo kupita kiasi, pamoja na kutowapatia huduma za afya na ustawi wa jumla. Na…
22 August 2025, 2:04 pm
Familia moja iliyopo barabara ya Losaru mtaa wa Bondeni, Kijenge Kusini jijini Arusha imelalamikia utupaji wa taka hovyo na utiririshaji wa maji taka unaofanywa na baadhi ya wapangaji waliopo eneo hilo, hali inayohatarisha afya za wakazi pamoja na usalama wa…
21 August 2025, 11:15 pm
Zaidi ya madawati 90 yamekabidhiwa katika shule ya sekondari ya Embris, iliyopo Kijiji cha Landanai, Kata ya Naberera, Wilaya ya Simanjiro, mkoani Manyara. Madawati hayo yametolewa na shirika lisilo la kiserikali la World Vision kwa lengo la kuiunga mkono serikali…
20 August 2025, 12:38 pm
Mamia ya wananchi kutoka kata za Sakina na Ungalimited jijini Arusha, leo wamejitokeza kwa wingi kuwasindikiza madiwani wao kuchukua fomu za kugombea nafasi ya udiwani kupitia chama cha Mapinduzi, kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu. Na Jenipha…
18 August 2025, 8:53 pm
Maafisa usafirishaji maarufu waendesha bodaboda kutoka kijiwe cha Mnazi Mmoja, mtaa wa Mjini Kati jijini Arusha, wameiomba serikali na mamlaka husika kuchukua hatua za haraka kutatua changamoto ya shimo linalotuamisha maji machafu na taka, ambalo limekuwa kero kubwa kwao na…
13 August 2025, 3:18 pm
Serikali kupitia Mamlaka ya Mapato Tanzania, TRA, imeamua kutoa msamaha wa ushuru kwa malighafi zinazoagizwa kutoka nje ya nchi, ikiwa ni hatua ya kuimarisha uzalishaji wa bidhaa ndani ya nchi na kuweka usawa wa bei sokoni. Na Jenipha Lazaro Meneja…
9 August 2025, 10:03 am
Jamii imetakiwa kuhakikisha inakata bima kwa shughuli mbalimbali za kila siku, ili kujilinda dhidi ya majanga yasiyotegemewa yanayoweza kuathiri maisha yao ya kijamii na kiuchumi. Na Jenipha Lazaro Wito huo umetolewa na Meneja wa Kanda ya Kaskazini kutoka Mamlaka ya…
Savvy FM Proposal Summary
Future Goals
Expand digital footprint internationally.
Maintain financial sustainability through ethical business practices.
Continue to innovate in programming and community service.
Contact Info
Phone: +255 787877778
Email: info@savvygroup.co.tz
Web: www.savvymediagroup.co.tz
Savvy FM Proposal Summary
Address: Plot 455, Block ‘C1’, Umoja Road, Njiro, Arusha, Tanzania