Micheweni FM
Micheweni FM
1 October 2021, 9:17 am
Na Gaspary Charles JUMLA ya wakulima hamsini wa bustani za nyumbani Kisiwani Pemba katika kipindi cha mwaka wa kwanza wa utekelezaji mradi wa Viungo, Mboga na Matunda wamewezeshwa vifaa vya kilimo ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa mradi huo unaolenga…
1 October 2021, 9:12 am
Na Ali Kombo PEMBA Zaidi ya Wanafunzi 7000 wilaya ya Micheweni hawaendi skuli na kuifanya wilaya hiyo ikawa inaongoza kwa wanafunzi walio watoro licha ya kuonekana ni ya mwanzo kitaifa kwa wanafunzi waliofaulu Kauli hiyo imetolewa na mkuu wa wilaya…
1 October 2021, 7:47 am
Na Gaspary Charles. Jumuia ya utetezi wa kijinsia na mazingira pemba( Pegao) imesema itaendelea kushirikiana na wanawake wote wanaotaka kugombea nafasi za uongozi katika kutatua changamoto zinazowarudisha nyuma kufikia lengo hilo katika nyanja mbali mbali za siasa, democrasia na…
28 September 2021, 6:36 pm
NA MWIABA KOMBO. SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar imejipanga kikamilifu kuhakikisha wanafanikiwa katika dhana ya uchumi wa buluu katika kuhamasisha matumizi zaidi na endelevu ya bahari kwa ajili ya upatikanaji wa ajira za kudumu. Akizungumza katika mkutano wa wadau kuhusu mapitio…
28 September 2021, 2:06 pm
NA MWIABA KOMBO. Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba, Salama Mbarouk Khatib, amesema kunyimwa haki wanawake na watoto katika miaka ya hivi sasa, kunatokana na kasoro za sheria zilizotungwa miaka hiyo, kwa kutowashirikisha wanawake. Amesema, ndio maana leo serikali, jamii,…
Micheweni Fm inapatikana mkoa wa kaskazini pemba – Zanzibar. ni kituo cha kijamii kinachotoa maudhui yanayoigusa jamii moja moja kwa moja