Micheweni FM

Recent posts

1 October 2021, 9:12 am

7000 watoroka Skuli Wilaya ya Micheweni

Na Ali Kombo PEMBA Zaidi ya Wanafunzi 7000 wilaya ya Micheweni hawaendi skuli na kuifanya wilaya hiyo ikawa inaongoza kwa wanafunzi walio watoro licha ya kuonekana ni ya mwanzo kitaifa kwa wanafunzi waliofaulu Kauli hiyo imetolewa na mkuu wa wilaya…

28 September 2021, 6:36 pm

SMZ yaainisha mikakati kutekeleza kwa vitendo dhana ya uchumi wa buluu

NA MWIABA KOMBO. SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar imejipanga kikamilifu kuhakikisha wanafanikiwa katika dhana ya uchumi wa buluu katika kuhamasisha matumizi zaidi na endelevu ya bahari kwa ajili ya upatikanaji wa ajira za kudumu. Akizungumza katika mkutano wa wadau kuhusu mapitio…

28 September 2021, 2:06 pm

RC kaskazini Pemba, alalamika kutengwa wanawake

NA MWIABA KOMBO. MKUU wa mkoa wa kaskazini Pemba, Salama Mbarouk Khatib, amesema kunyimwa haki wanawake na watoto katika miaka ya hivi sasa, kunatokana na kasoro za sheria zilizotungwa miaka hiyo, kwa kutowashirikisha wanawake. Amesema, ndio maana leo serikali, jamii,…

Mission and Vision

Micheweni Fm inapatikana mkoa wa kaskazini pemba – Zanzibar. ni kituo cha kijamii kinachotoa maudhui yanayoigusa jamii moja moja kwa moja