Micheweni FM
97.4 MHz
Micheweni - Kaskazini Pemba
+255 773 290 519 au +255 779 974 974
micheweniradio@gmail.com
97.4 MHz
Micheweni - Kaskazini Pemba
+255 773 290 519 au +255 779 974 974
micheweniradio@gmail.com
meneja mamalaka ya mapato TRA mkoa wa kikodi pemba Arif Said akizungumza na mfanya biashara katika maeneo ya duka kiswani pemba ikiwa ni ziara maalum ya kuwatembelea na kusikiliza changamaoto zinazowakabili ikiwa ni ziara maalumu ya kuwatambelea wafanya biashara kwa lengo la kujua changamoto zinazo wakabili.…
18 February 2026, 2:13 pm
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar imesema itaendelea kuwekeza katika elimu ya ufundi na uhandisi ili kuzalisha wahandisi wazawa watakaosimamia miradi ya maendeleo nchini. Na Ali Kombo Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali, Lela Muhamed Mussa, amesema hayo wakati akikabidhi eneo…
15 February 2026, 4:24 pm
Afisa mdhamini tume ya mipango Pemba Khamis Issa Mohd akifungua mafunzo ya siku moja kwa masheikhe pamoja na walimu wa madrasa katika ukumbi wa skuli ya madungu sekundari (picha na Mwiaba Kombo) Mashekhe na walimu wa madrasa kisiwani Pemba wametakiwa…
30 September 2025, 8:01 am
Viongozi wa soko la Tumbe wametakiwa kusimamia kwa umakini suala la usafi katika soko hilo ili liwe na haiba nzuri na mvuto kwa wageni wanaotembelea eneo hilo. Na Mwiaba Kombo Wito huo umetolewa na Mkuu wa Wilaya ya Micheweni, Khatibu…
5 September 2025, 11:09 am
Wananchi kisiwani Pemba wamesema hawajawahi kushuhudia maendeleo makubwa kama yale yaliyopatikana ndani ya kipindi cha miaka mitano ya uongozi wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi. Na Mwiaba Kombo Wakizungumza na wahariri na…
2 September 2025, 10:33 am
Wananchi kisiwani Pemba wamemshukuru Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, kwa kuwapatiwa Hospitali ya Wilaya katika kijiji cha Vitongoji. Na Mwiaba Kombo Shukrani hizo zimetolewa na wananchi hao walipokuwa wakizungumza na waandishi wa…
26 August 2025, 9:35 am
Huduma ya chanjo ni kipaombele kikuu cha serikali ambapo chanjo hizo ni salama na zimethibitishwa na shirika la afya duniani (WHO)pamoja na wizara ya afya kupitia wakala wa chakula, dawa na vifaa tiba ,hivyo hakuna sababu ya kuhofia kupata chanjo…
24 July 2025, 12:35 pm
Mkurugenzi wa halamashauri ya wilaya yaMicheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba amewataka wafanyakazi wa diko la Tumbe kuhakikisha wanasimamia iapasavyo usafi katika diko hilo ili kuweza kuindokana na maradhi ambayo yanaweza kujitokeza endapo soko hilo halitokuwa safi kwani mazingira machafu huvutia…
18 July 2025, 10:48 am
Shule za shumba vyamboni masingi Tumbe na Tumbe Sekondari ni miongoni mwa shule ambazo zilikuwa na kilio cha muda mrefu wa kupata huduma ya fotokopi kwa ajili ya kutolea mitihani ya wanafuni pamoja na shughuli nyengine za kiofisi ,kilio hicho…
7 July 2025, 7:42 pm
Chama cha wananchi CUF ni miongoni mwa chama cha siasa ambacho kitashiriki uchaguzi mkuu Taifa ambao unatarajiwa kufanyika October 2025 ambapo viongozi wa chama hicho wamewataka wanachama wao pamoja na wananchi kwa ujumla kuhakikisha wanashiriki kikamilifu kwenye uchaguzi huo kwa…
1 July 2025, 9:59 pm
Makamo wa pili wa rais wa Zanzibar Hemed Suleiman Abdulla akizungumza na shirikisho la walimu pamoja na wananchi katika ukumbi wa skuli ya Sekondari Utaani (picha na Ofisi ya makamo wa pili ) Katika kipindi cha miaka mitano, skuli mbali…
Micheweni Fm inapatikana mkoa wa kaskazini pemba – Zanzibar. ni kituo cha kijamii kinachotoa maudhui yanayoigusa jamii moja moja kwa moja