Recent posts
24 March 2024, 11:15 am
UCRT wazindua mradi mpya wa uhifadhi shirikishi Ngorongoro
Shiraika la UCRT limekuwa likitekeleza shughuli mbalimbali pamoja na miradi ya maendeleo wilayani hapa kwa manufaa ya wananchi huku wakishirikiana na halmashauri ya wilaya ya Ngorongoro kwa ukaribu. Na Mathias Tooko, Uzinduzi wa mradi huo umefanyika Machi 23 2024 kupitia…
22 March 2024, 2:02 pm
Enguserosambu wagoma kutoa eneo la shamba darasa Ngorongoro
Wafugaji waliowengi wilayani Ngorongoro wanahitaji elimu ya ufugaji bora,wakisasa na wenye tija hivyo elimu mbalimbali ihusuyo ufugaji,na mashamba darasa ni miongoni mwa elimu hiyo. Na Edward Shao. Mkuu wa wilaya Ngorongoro Kanali Wilson Sakulo amewataka wanakijiji wa kata ya Enguserosambu…
16 March 2024, 4:39 pm
Serikali yatoa vifaa tiba kituo cha afya Sale
Na Saitoti Saringe. Katika kuboresha huduma za afya serikali imeendelea kununua vifaa vya tiba muhimu kwa lengo la kuhakikisha wananchi wanapata huduma stahiki kuanzia vituo vya afya wilayani Ngorongoro. Kituo cha afya Sale kilichopo kata ya Sale kimepokea vifaa vipya…
15 March 2024, 12:36 pm
Wananchi Samunge, Digodigo kero zao mikononi mwa Dc Sakulo
Ni muendelezo wa zira za mkuu wa wilaya Kanali Sakulo katika kutembelea vijiji na kata mbalimbali kusikiliza na kutatua kero za wananchi. Na mwandishi wetu Wananchi Kata ya Samunge na Kata ya Digodigo Machi 14, 2024 wamemshukuru Mhe. Mkuu wa…
14 March 2024, 3:19 pm
Nguzo zaanguka Longido, Ngorongoro yakosa umeme
Umeme umeendelea kuwa kero kwa wananchi kutokana na kukosekana kwa huduma hii muhimu kwa shughuli za kila siku kwa kukatika mara kwa mara kwenye maeneo mengi hapa nchini. Mkuu wa wilaya ya Ngorongoro Mh Kanali Wilson Sakulo tarehe 13 Machi…
8 March 2024, 11:03 am
Kamati ya siasa Arusha yaridhishwa miradi ya maendeleo Ngorongoro
Ni ziara ya mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) akiambatana na viongozi wengine wa mkoa ikiwemo mkuu wa mkoa wa Arusha Mh John Mongella wamefanya ziara ya kukagua miradi ya maendeleo wilayani hapa huku wakitoa pongezi kwa mkurugenzi mtendaji kwa…
25 February 2024, 8:46 am
DC Ngorongoro na ziara ya kwanza
Miradi mingi ya maendeleo wilayani Ngorongoro inayotekelezwa kupitia ufadhili wa benki ya maendeleo ya Ujerumani (KFW) imegusa karibu kila sekta muhimu ikiwepo Afya,barabara pamoja na sekta ya elimu. Na mwandishi wetu. Mkuu wa Wilaya ya Ngorongoro Kanal. Wilson Sakulo leo…
15 February 2024, 12:22 am
Amuua mke wake, atokomea kusikojulikana
Matukio ya ukatili kwa wanawake hususani ya mauaji yameshamiri kwa mwezi Februari wilayani Ngorongoro ya wanaume kuwaua wake zao hili likiwa ni tukio la pili kwa mwanaume kumua mkewe ndani ya wiki moja tu. Na Edward Shao. Kijana mmoja anayejulikana…
10 February 2024, 1:36 pm
Auawa kwa kuchapwa na mume wake akilazimishwa kuishi nae Ngorongoro
Matukio ya ukatili kwa wanawake yameendela kuripotiwa ambapo mwanamke mwenye umri wa miaka 22 auawa kwa kuchapwa na mume wake akilazimishwa kuishi nae Ngorongoro. Na Edward Shao. Mwanamke mmoja Nanyori Mohe (22) mkaazi wa kijiji cha Malambo kata ya Malambo…
10 February 2024, 12:27 am
Ngorongoro wahimizwa kuzingatia lishe bora
Serikali ya awamu ya sita imeipa kipaumbele sekta ya afya na upande wa lishe ili kuboresha, kuimarisha afya za watoto na kuondoa hali ya udumavu kwa watoto kwa lengo la kuwa na kizazi bora na chenye afya timamu. Na Edward…