Loliondo FM

Recent posts

17 May 2024, 10:33 am

Kamati: Kituo cha afya Arash kifanye kazi kabla ya Mei 20 Ngorongoro

Wilaya ya Ngorongoro kupitia kamati yake ya fedha wamepanga ziara maalum za kukagua na kuhakikisha miradi mbalimbali ya maendeleo inayoendelea kutekelezwa wilayani hapa inatekelezwa kwa ubora na ufanisi wa hali ya juu. Na mwandishi wetu. Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya…

7 May 2024, 11:17 am

Mabeyo: Hifadhi ya Ngorongoro inatakiwa ibaki wazi

Katika jitihada za serikali za kuhakikisha eneo la hifadhi ya Ngorongoro libaki wazi kupisha shughuli za uhifadhi,mamlaka ya hifadhi hiyo NCAA wapo katika hatua za mwisho kukamilisha ujenzi wa makao makuu yao wilaya ya Karatu mkoani Arusha. Na Mwandishi wetu.…

16 April 2024, 7:13 am

Nape Nnauye awataka wananchi Ngorongoro kusimama na Samia

Baadhi ya wananchi wachache katika mitandao ya kijamii wamekuwa wakiitumia mitandao yao vibaya ikiwemo kuwatukana na kuwachafua viongozi wa nchi kwenye mitandao hiyo kinyume na matumizi sahihi ya mitandao ya kijamii,hivyo viongozi wa serikali wamekuwa wakiwasisitiza kuacha kufanya hivyo kwani…

9 April 2024, 11:17 am

Mbunge Ole Shangai awaka sakata la uhamaji wa hiari Ngorongoro

Katika harakati za kuendelea kuwafikishia viongozi wa juu wa serikali kero za wananchi wa Ngorongoro, mbunge Emanuel Shangai amesimama bungeni kuhoji kwa Waziri Mkuu sakata la uhamaji Ngorongoro ikiwa ni la hiari kwanini wananchi wanawekewa vikwanzo vya kimaendeleo? Na Edward…

7 April 2024, 2:21 pm

FIFA watoa mafunzo kwa walimu wa michezo Ngorongoro

Mafunzo ya ukocha ngazi ya awali kwa walimu wa michezo shule za msingi na sekondari yameanza kitolewa wilayani hapa ambapo moja ya faida kubwa ambazo wanufaika wataipata na kuelewa na kufahamu zaidi mbinu mbalimbali za mpira wa miguu na mifumo…

6 April 2024, 12:26 pm

Kamishna wa uhifadhi atumia milioni 400 kulala hotelini Ngorongoro

Viongozi wa ngazi za chini waliochaguliwa na wananchi kutetea na kuibua kero zao wilayani Ngorongoro wameendelea kusimama na wananchi, hii ni baada ya diwani wa kata ya Alaitole tarafa ya Ngorongoro kuibua sakata la aliyekuwa kamishna wa mamlaka ya huifadhi…

2 April 2024, 10:46 am

Ngorongoro yaguswa na bilioni 2.5 za TASAF Arusha

Serikali imekuwa ikiendelea na mpango wa kuzinusuru kaya masikini kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Jamii-TASAF kwa halmashauri zote zilizo kwenye mpango huo, halmashauri ya wilaya ya Ngorongoro ikiwemo. Na mwandishi wetu. Jumla ya shilingi bilioni 2.5 zimegawiwa na serikali kwa…

27 March 2024, 11:39 am

Kaya 140 zanufaika na fedha za Tasaf Ngorongoro

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ilianza kutekeleza mradi wa mfuko wa maendeleo ya jamii – TASAF kuanzia mwaka 2000, ikiwa ni moja ya mbinu za kutokomeza umasikini ambazo pia zilisaidia ajenda ya ugatuaji wa madaraka. Katika kipindi cha…