Recent posts
2 July 2024, 6:44 am
Wananchi Ngorongoro hawatumii maji kuhofia laana
Elimu bado inahitajika kwa wananchi katika jamii za kifugaji kuhusu matumizi safi ya maji na utunzaji wa mazingira, kulinda vyanzo vya maji na kulinda miundombinu ya maji katika matumizi yao ya kila siku ikiwemo wakati wa unyweshaji wa mifugo maji.…
2 July 2024, 2:03 am
Makonda na ziara ya kwanza Ngorongoro
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mh. Paul Makonda amefika walayani Ngorongoro kwa mara ya kwanza tangu ateuliwe kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha na Mh. Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Na Zacharia James. Mkuu…
22 June 2024, 5:58 pm
RAS Arusha aahidi kumleta Makonda Ngorongoro
Kwa mujibu wa Katibu Tawala Mkoa wa Arusha lengo la mkoa ni kufikia (single digit) yaani chini ya hoja kumi ambazo zimefikia lengo ni halmashauri 5 pekee. Na Zacharia James. Katibu tawala wa mkoa wa Arusha mhe. Massaile Albano Musa…
20 June 2024, 8:12 pm
Aliyetoroka na kwenda Msomera kwa kulazimishwa kuolewa arejea Ngorongoro
Mwanamke huyo anasema alitolewa mahari akiwa darasa la pili na mwanaume ambaye alihitaji kumuoa baada ya binti huyo kuhitImu kidato cha nne lakini binti huyo hakuwa tayari kuolewa na mwanaume huyo licha ya kuishi naye kwa muda mchache na kuambulia…
19 June 2024, 4:44 pm
Jamii ya Maasai kuongozwa na viongozi wa kimila wanawake
Ni mara chache kushuhudia viongozi wa kimila wanawake wameaminiwa na kupewa nafasi katika kuongoza jamii, lakini shirika la Memutie limefanikiwa kuielimisha jamii ya kimaasai na kukubali kupata viongozi wa kimila wanawake maarufu Ingaigwanak na kuwasimika rasmi tayari kuanza majukumu yao.…
14 June 2024, 9:07 am
Dc Ngorongoro:Tatueni migogoro kwenye kata zenu
Na Zacharia James Mkuu wa wilaya ya Ngorongoro Mhe.kanali Wilson Sakulo amewataka waheshimiwa madiwani kushiriki kikamilifu kusaidia kutatua migogoro yote iliyopo katika maeneo ya kata zao kwani wao wananguvu kubwa na imani ya Wananchi wao. Ameyasema hayo katika mkutano wa…
13 June 2024, 5:30 pm
Wakazi 4000 kufikiwa na madaktari bingwa Ngorongoro
Katika kuhakikisha serikali inaboresha huduma za afya nchini, wilaya ya Ngorongoro imepokea madaktari bingwa kwa ajili ya kuongeza nguvu katika kutoa huduma za uhakika kwa wananchi. Na Saitoti Saringe. Mkuu wa Wilaya ya Ngorongoro Kanali Wilson Sakulo amefanya ufunguzi wa…
12 June 2024, 7:14 pm
Ashambuliwa na sime kisa kulisha ng’ombe chumvi Ngorongoro
Mkuu wa mkoa wa Arusha Mh Paul Makonda wakati anawasili kwa mara ya kwanza mkoani hapa alinukuliwa akisema mkoa wa Arusha una migogoro mingi ya aridhi na kumpa kamishina wa Aridhi miezi mitatu kuhakikisha anaimaliza migogoro hiyo. Na Edward Shao.…
31 May 2024, 9:46 pm
Mashindano ya UMISETA yashika kasi Ngorongoro
Mashindano ya Umiseta imeendelea kuvutia wapenzi wengi wa soka wilayani Ngorongoro baada ya kukutanisha wanafunzi kutoka shule mbalimbali na wadau wa soka wilayani hapo. Na Saitoti Saringe Mashindano ya Michezo kwa Shule za Sekondari (UMISETA) leo tarehe 31 Mei, 2024,…
31 May 2024, 2:36 pm
Aliyefichwa kwa miaka 13 kisa ulemavu aibuliwa Ngorongoro
Jamii za kifugaji zinazo patikana katika wilaya ya Ngorongoro baadhi yao wanaamini mtu mwenye ulemavu kwenye familia ni laana au mkosi hivyo wengi wao uwaficha wasionekane katika jamii. Na Edward Shao. Shirika la Ngolac [Ngorongoro legal aid center] limefanikiwa kumuibua…