Loliondo FM

Recent posts

12 September 2024, 7:41 pm

Watakiwa kufuata maelekezo ya serikali kuboresha huduma za kijamii Ngorongoro

Inatajwa kuwa askari walio wengi wa hifadhi hapa nchini wamekuwa wakiingia migogoro na wananchi wanao zizunguka hifadhi kutona na sababu mbalimbali ikiwepo mifugo yao kuingia hifadhini. Na mwandishi wetu. Askari uhifadhi wa mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) wametakiwa kujenga…

23 August 2024, 5:24 pm

Makonda afika Ngorongoro kwenye maandamano, awatia moyo wananchi

Baaada ya maandamano ya siku kadhaa tarafa ya Ngorongoro, hatimaye kwa mara ya kwanza uongozi wa mkoa wa Arusha ukiongozwa na Mkuu wa Mkoa Paul Makonda wamefika Ngorongoro kuwasikiliza wananchi. Na mwandishi wetu. Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda…

23 August 2024, 1:17 pm

Waandishi wa habari waaswa kufanya kazi kwa maslahi ya wananchi

Kufuatia yanayoendelea Ngorongoro na kuelekea Uchaguzi wa serikali za mitaa maratibu wa THRDC awataka Waandishi wa habari wasikae kimya kwa sababu wananchi wanaumia. Na Saitoti Saringe Akizingumza hii leo Agosti 23, 2024 jijini Dodoma akifungua mafunzo kwa Waandishi wa Habari…

22 August 2024, 10:33 pm

Mahakama yapiga stop vijiji kufutwa Ngorongoro

Baada ya kuwepo kwa taarifa za kufutwa kwa baadhi ya vijiji wilayani Ngorongoro kumekuwepo wadau mbalimbali wa kutetea haki za wanangorongoro kuhakikisha wanapata haki na huduma zao za msingi kama ilivyo kwa wananchi wengine hapa nchini. Na mwandishi wetu. Mahakama…

22 August 2024, 3:20 pm

CHADEMA: Tatizo la Ngorongoro haliwezi kumalizwa na mitutu ya bunduki

Hakuna tamko lolote rasmi kutoka serikalini kuhusu maandamano ya wananchi wanaoishi tarafa ya Ngorongoro kuhusu kero mbalimbali zinazowakabili. Na mwandishi wetu. Chama cha demokrasia na maendeleo Chadema kupitia mwenyekiti wa chama hicho mh Freeman Mbowe wametoa tamko na msimamo wao…

22 August 2024, 9:33 am

367 wahamia Msomera licha ya maandamano Ngorongoro

Kumekuwa na maandamano kwa wananchi wanaoishi tarafa ya Ngorongoro wakiitaka serikali kuwasikiliza na kutatua changamoto na kero zinazowakabili bila ya mafanikio, hata hivyo wengine wameendelea kukubali kuhama kwa hiari kulekea Msomera. Na mwandishi wetu. Mwitikio wa wananchi wanaoishi katika eneo…

18 August 2024, 8:59 pm

NCAA: Shughuli za utalii zinaendelea Ngorongoro pamoja na uwepo wa maandamano

Idadi kubwa ya wananchi wanaoishi katika tarafa ya Ngorongoro wameandamana hii leo Agosti 18,2024 wakishinikiza serikali iwasikilize na kutatua kero zao mbalimbali zinazowakabili. Na mwandishi wetu. Mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) imesema kuwa shughuli za utalii bado zinaendelea katika…

10 August 2024, 4:35 am

Mabeyo aagiza maboresho magofu ya Engaruka

Magofu ya Engaruka ni moja ya maeneo yenye historia kubwa sana Tanzania miaka 500 hivi iliyopita, jamii ya wakulima ilitumia mfumo wa hali ya juu wa kilimo cha umwagiliaji katika eneo hilo. Na Mwandishi wetu. Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi…

1 August 2024, 3:44 pm

Kikao kamati ya lishe,wajane waondolewa kwenye nyumba yao Sale

Lishe ni kiasi na aina ya chakula unachokula kulingana na mahitaji ya mwili wako na lishe bora inamaanisha kuwa kiasi sahihi cha virutubishi vya mwili huliwa baadhi ya watu ula chakula kujaza matumbo na si kuzingatia lishe bora kwa mujibu…