Kahama FM
Kahama FM
24 May 2026, 09:53
Mwenge huo utatembelea kata zote za Wilaya ya Mufindi DC na Halmahauri ya Mji Mafinga kukagua utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo. Na Fredrick Siwale Wilaya ya Mufindi inatarajiwa kuupokea mwenge wa Uhuru tarehe 26/6/2026 ukitokea Mkoani Njombe kwa ajili ya…
2 May 2026, 10:05
Malalamiko ya wafanyakazi nchini juu ya mazingira duni ya kazi imekuwa kilio chao kila wanapoadhimisha siku ya wafanyakazi duniani hasa wakiiomba serikali kuchukua hatua kwa waajiri. Mkuu wa Mkoa wa Kagera Kanali Yahya Ramadhan Kido amewaagiza waajiri katika sekta binafsi…
24 April 2026, 7:01 am
Mkuu wa chuo cha uwalimu Bunda mwal Venance Mwita Mancheye amewahasa wahitimu kujiendeleza kielimu kwa kuwa ujifunzaji hauna mwisho, kusoma kompyuta na kuwa na heshima kwa kila mtu. Na Adelinus Banenwa Jumla ya wanafunzi wa chuo cha uwalimu Bunda 239…
21 April 2026, 18:58
Kupitia vifurushi NHIF, wanachama wanaweza kupata huduma za matibabu katika vituo mbalimbali vya afya vilivyosajiliwa, jambo linalorahisisha upatikanaji wa huduma hizo bila gharama kubwa ya papo kwa papo Na Katalina Liombechi Jamii imetakiwa kuchukua hatua madhubuti za kujihakikishia huduma bora…
April 20, 2026, 7:01 pm
Mradi huo utagharimu shilingi milioni 10 ikiwa ni sehemu ya mikakati ya kuongeza kipato chao ndani ya kanisa ambapo mradi umefikia hatua ya msingi. Na Samwel Masunzu- Kakonko, KIGOMA Wanawake katika kanisa la Free Pentecostal Church FPCT Kakonko mjini mkoani…
18 April 2026, 4:24 pm
Madereva wametakiwa kuzingatia sheria za usalama barabarani kwa kuepuka ulevi, matumizi ya simu wanapoendesha, pamoja na kufanya maamuzi sahihi wanapokutana na changamoto barabarani, ili kupunguza ajali na kulinda maisha ya watumiaji wote wa barabara. Na Oliva JoelKatika kuepuka ajali za…
8 March 2026, 08:52
Kupitia maadhimisho ya siku ya wanawake Duniani (IWD), jamii inapata fursa ya kutafakari mchango, changamoto na mafanikio ya wanawake. Gregory Millanzi na Mwanahamis Chikambu. Katika mwanzo wa historia ya mwanadamu, kabla ya ustaarabu kujengeka na kabla jamii haijaweka mifumo ya…
27 February 2026, 3:51 pm
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha (DC ),Bwn Sulemani Msumi, amesema halmashauri inaendelea kuweka mazingira rafiki kwa watumishi wake, ikiwemo walimu, hususan katika kata za pembezoni kwa kuwajengea nyumba za kuishi. Na Mariam Mallya Amesema kuwa katika mwaka…
24 February 2026, 8:20 pm
Wanawake katika wilaya ya Mbozi mkoani Songwe wamechoka kuibiwa viatu wakati wa misiba. Na Mkaisa Mrisho Wanawake wa Vwawa wilaya ya Mbozi mkoa wa Songwe wameibuka na kero ya kuibiwa vitu vyao ikiwemo viatu au ndala kwenye misiba hali inayowalazimu…
24 December 2025, 12:50
Wananchi wametakiwa kuzingatia matumizi sahihi ya gesi ya kupikia majumbani ili kuepuka madhara ikiwemo milipuko ya moto Na Musa Mtepa Wananchi wameshauriwa kuzingatia matumizi sahihi ya gesi ya kupikia majumbani ili kuepuka madhara yanayoweza kujitokeza, ikiwemo milipuko ya moto inayosababishwa…