Recent posts
March 6, 2026, 7:29 pm
Milioni 15 kujenga mitaro ya barabara katika mtaa wa mtakuja, Nyahanga
Halmashauri ya Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga imetoa shilingi milioni 15 kwa kila kata kwa ajili ya ukarabati wa barabara, huku fedha hizo kwa kata ya nyahanga zikitengwa kwa ajili ya mitaro pembezoni mwa barabara. Akizungumza na wananchi wa…
March 2, 2026, 12:43 pm
Wanaume Kahama washauriwa kuwapeleka wenza wao kliniki
Wanaume kuwapeleka wenza wao kliniki si jambo ambalo limezoeleka katika jamii, lakini ni muhimu kwa baba na mama kwenda cliniki pamoja kujua afya zao na kupata elimu kwa pamoja. Na Faustine Mathias Baadhi ya wananchi wilayani Kahama mkoani Shinyanga wameelezea…
February 23, 2026, 12:29 am
Wafanyakazi wapatiwa mafunzo ya kujikinga na majanga
Wafanyakazi wa kampuni ya Costig Holdings ltd iliyopo wilayani Kahama mkoani Shinyanga wametakiwa kujua wajibu wao wawapo kazini pamoja na kuzingatia walichofundishwa na wataalum mbalimbali ili kuongeza uzalishaji zaidi. Katika mafunzo hayo wataalumu kutoka sekta mbalimabli wakiwemo maafisa kutoka NSSF,…
February 22, 2026, 1:16 pm
TANESCO Kahama yatakiwa kuhudumia Shunu, Mtakuja
”Wananchi wanahitaji huduma ya umeme kwenye maeneo ambayo mpaka sasa hajafikiwa, ikiwa miundombinu imefika kwenye maeneo hayo” Wananchi wa mtaa wa Shunu na Mtakuja katika kata ya Nyahanga halmashauri ya Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga wameliomba shirika la Umeme Tanzania…
February 22, 2026, 12:40 pm
TFF kufanyia mkutano mkuu Kahama
”Mkutano huo utatoa nafasi kwa wadau wa soka kubadilishana mawazo, kujadili changamoto na kuweka mikakati mipya ya kuendeleza mchezo wa mpira wa miguu nchini, ikiwemo ujenzi wa uwanja wa kisasa ambao utaweza kupokea zaidi ya watu 7,000” Shirikisho la soka…
February 16, 2026, 9:25 am
Madiwani Ushetu waomba TARURA kukarabati barabara korofi
”TARURA waombwa kuzitembelea barabara zilizohariba kutoka na mvua zinazoendelea kunyesha na kuzikarabati ili zipitike na kuwaondolea wananchi adha wanazokutana nazo wakati wa kutekeleza shughuli za kiuchumi” Wakala wa barabara wa mjini na vijijini (TARURA) wilayani Kahama mkoani Shinyanga wametakiwa kukarabati…
February 14, 2026, 10:57 am
Baraza la Madiwani Manispaa ya Kahama lapitisha bajeti ya bil. 70
Baraza la madiwa la Halmashauri ya Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga limepitisha rasimu ya makisio ya bajeti shililingi bilioni 70 kwa mwaka wa fedha 2026/2027, fedha zitakazotumika kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo ndani ya Manispaa hiyo. Bajeti hiyo inatarajiwa kukusanywa…
February 14, 2026, 10:26 am
Diwani aomba serikali kujenga shule ya sekondari
”Kata ya Nyahanga ina shule za msingi tano, huku ikiwa na shule moja ya sekondari ambayo imekuwa ikipokea wanafunzi wengi hali inayosababisa kuongeza shule nyingine ya pili ili kuondokana na changamoto kuwa na wanafunzi wengi” Diwani wa kata ya Nyahanga,…
February 11, 2026, 7:44 am
Madiwani Ushetu hakikisheni miradi ya maendeleo inakamilika
”Madiwani hakikisheni miradi ya maendeleo inakamilika kwa wakati katika kata zenu” Madiwani wa Halmashauri ya Ushetu wilayani Kahama mkoani Shinyanga wametakiwa kuhakikisha miradi ya maendeleo inakamilika kwa wakati katika kata zao, pamoja na kutatua changamoto zinazowakabili wananchi. Wito huo umetolewa…
February 9, 2026, 12:44 am
Serikali kugharimia bima ya afya kwa kaya masikini Shinyanga
Zaidi ya wananchi 63, 541 katika mkoa wa shinyanga kwa awamu ya kwanza watapatiwa huduma ya bima ya afya kwa wote bure kwa kaya zisizo na uwezo wa fedha, ikiwa gharama hizo zitalipwa na serikali. Hayo yamesemwa na mkuu wa…
