Mwanamke
13 June 2023, 16:54 pm
Kipindi: Hali ya mahudhurio darasa la kwanza, awali
Sikiliza kipindi cha dira ya asubuhi juu ya mada Hali ya Mahudhurio Darasa la awali na Darasa la Kwanza kwa Wilaya ya Mtwara Sikiliza hapa
8 June 2023, 14:34 pm
Makala: NEMC Mtwara yateketeza taka za plastiki
Na Musa Mtepa. Siku ya mazingira duniani Juni 6, 2023 Baraza la taifa la uhifadhi wa mazingira mkoani Mtwara (NEMC) imeadhimishwa mkoani Mtwara kwa kuteketezwa kwa taka za plastiki zaidi ya kilo 600 zenye thamani ya shilingi milioni nne. Akizungumza…
3 June 2023, 14:50 pm
Kipindi: Fahamu ulemavu aina ya mguu kifundo au unyayo uliopinda
Siku ya mguu kifundo au unyayo uliopinda inaadhimishwa leo Juni 3, 2023 katika wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi. Jamii FM Radio kwa kushirikiana na Hospital ya Rufaa Kanda ya Kusini (SZRH) tumetoa elimu kwa jamii juu ya aina hii ya…
1 May 2023, 09:40 am
MAKALA – Uanzishwaji ngo’s na changamoto wanazokutana nazo
Na Musa Mtepa Ulemavu ni hali ya kuwa na hitilafu ya kudumu mwilini au akilini inayomzuia mtu kutekeleza shughuli zilizo kawaida katika maisha jamii, Ulemavu unaweza kuwa katika Mwonekano au aina tofauti kama vile viungo vya mwili miguu, mikono, mgongo…
29 April 2023, 14:52 pm
MAKALA – Ladha ya chakula kilichopikwa kwa nishati ya Gesi
Na Musa Mtepa Kutokana na kukuwa kwa Technolojia Binadamu ameweza kubadilika na kuendana na mazingira husika yanayoendana na mabadailiko hayo ambayo sio tu kwa wakazi wa mijini bali hata katika maeneo ya Vijijini. Zamani ukienda vijijini na kukutana na Mzee…
28 April 2023, 11:18 am
Makala: Je wazee wana mchango gani wa kukemea kuporomoka kwa maadili
Na Msafiri Kipila Kutokana na mabadiriko makubwa kwenye nyaja ya elimu, technolojia na utamaduni, tunu ya vijana imekuwa tofauti na wazee, vijana wanaona kuishi kwa tamadauni za mababu ni kupitwa na wakati, Wazee wamezungumza na Jamii fm kwenye makala haya…
11 April 2023, 12:17 pm
Kipindi: Wenye ulemavu wanavyoweza kuibadilisha jamii kivitendo na mtazamo
Na Musa Mtepa Mifumo ya usaidizi ni muhimu ili watu wenye ulemavu waweze kuishi maisha yenye utu, waweze kujitegemea na wawe huru zaidi, haya ni maneno yaliyosemwa Machi 13 2023 kwenye mkutano wa ‘’Mtazamo wa Kimataifa wa Habari za kiutu’’ huko…
10 April 2023, 11:29 am
Fahamu matumizi ya gesi asilia nyumbani
Na Mussa Mtepa Uwepo wa mtandao wa gesi asilia kwaajili ya kupikia katika baadhi ya maeneo ya Mkoa wa Mtwara kumesaidia kumtunza mazingira na muda wa kukaa jikoni kwaajili ya maandalizi ya chakula. Katika makala haya utasikia wanufaika mbalimbali wa…
8 April 2023, 13:28 pm
Makala: Fahamu namna dawa za kulevya zinavyomuathiri mtoto tumboni
Mama mjamzito akiwa anatumia madawa ya kulevya zinamuathili mama mwenyewe na kwenye mfumo wake wa uzazi na kupelekea mtoto kuathirika moja kwa moja kama ambavyo mama anaathirika kwa dawa hizo, na kupelekea mtoto kuwa na uraibu na wakati mwingine husababisha…
28 March 2023, 16:26 pm
Kipindi: Wanawake wahamasishwa kupima saratani ya mlango wa kizazi
Na Mussa Mtepa na Mwanahamisi Chikambu Saratani ya mlango wa kizazi ni ugonjwa ukuaji usio wa kawaida wa chembechembe hai na mgawanyo wa chembechembe hai usio wa kawaida ambapo havionekani kwa macho ya kawaida. Ugonjwa huu husambazwa kwa njia ya…