Jamii FM

Mwanamke

20 October 2021, 18:48 pm

Makala: Nafasi ya wanawake katika Tasnia ya Habari

Wananwake katika tasnia ya habari na Vyombo vya habari ni makala ambayo imeandaliwa ili kuangalia nafasi yake, Fursa na changamoto zilizopo katika mkoa wa Mtwara. Karibu katika makala haya ili uweze kujua masuala mbalimbali yanayofanywa na wanawake katika vyumba vya…

19 October 2021, 14:51 pm

Makala: Kilimo Biashara ndani ya Mtwara

Karibu usikilize Makala ya Kilimo biashara ambapo tumezungumzia mazao mbalimbali pamoja na hali ya biashara ya mazao haya ndani ya mkoa wa Mtwara, Ungana na Musa Mtepa katika makala haya.

18 October 2021, 16:21 pm

Makala: Upatikanaji wa mikopo kwa wanawake

Makala haya yameandaliwa na Habiba Mpimbita kuhusu thamani ya mwanamke na safari hii anaangalia uelewa wa wanawake kama wanafahamu juu ya mikopo inayotolewa na halmashauri juu ya wajasiliamali.

15 May 2021, 19:35 pm

Mtwara wamshangaa nahodha mwanamke

Na Karim Faida Wananchi mbalimbali wa Manispaa ya Mtwara mikindani wameonekana kumshangaa Nahodha anayeitwa Mayasa Mzandi ambaye ndiye amekuwa Nahodha wa kwanza katika kivuko cha Mv Mafanikio kinachofanya safari zake kutoka Feri Manispaa ya Mtwara Mikindani hadi Msangamkuu halmashauri ya…