Mwanamke
30 November 2022, 18:07 pm
Ufafanuzi juu ya adhabu za kujihusisha na Dawa za kulevya
Na Musa Mtepa, Mamlaka ya kudhibiti na kupambana na dawa za kulevya imejipanga kuweka adhabu kali kwa watu wote wanaojihusisha uuzaji na madawa ya kulevya ikiwemo Walimaji na watumiaji wa Bangi nchini. Wakiwa kwenye Wiki ya Maadhimisho ya siku ya…
30 November 2022, 12:12 pm
Ujanja ni kuchanja – sikiliza kipindi kuhusu chanjo ya Uviko 19
Na Mohamed Massanga Chanjo ya uviko 19 imekuwa na mapokezi mazuri kwa jamii ya watu wa mkoa wa mtwara na lindi, sikiliza kipindi hiki upate elimu juu ya chamjo na usikilize shuhuda za watu waliochanja.
28 November 2022, 14:54 pm
Tunajenga chuo cha Mafuta, Gesi na Umeme ili kuwajengea uwezo watu wetu
Waziri wa Nishati, Januari Makamba akiwa kwenye utiaji saini mkataba wa uzalishaji na ugawanaji mapato (PSA) kitalu cha Ruvuma – Mtwara, Waziri Makamba amesema >> ‘Ndugu zangu wa Lindi na MTWARA – sasa nchi yetu inaanza kuingia kwenye uchumi wa…
10 August 2022, 15:29 pm
KIPINDI (LIVE): Elimu ya namna ya kudhibiti Ugonjwa Kifua Kikuu (TB)
Ugonjwa wa kifua kikuu ni ugonjwa unaoennezwa kwa njia ya hewa na hii huenezwa kwa njia tofauti, ungana na mwandishi wetu Mwanahamisi chikambu pamoja Dk. Boniface Jengela ambaye ni mratibu wa kudhibiti kifua kikuu (TB) na ukoma katika halmshauri ya…
1 August 2022, 12:30 pm
Nafasi ya Mwanaume kwenye malezi ya watoto
. Sikiliza Makala inayozungumzia Nafasi ya Mwanaume kwenye malezi ya watoto, Makala haya yameandaliwa na Mwanahamisi chikambu
21 July 2022, 12:28 pm
Wananchi wamkataa Diwani wa kata ya Nanguruwe Mkoani Mtwara
wananchi wa kata ya Nanguruwe mkoani mtwara katika Halmashsuri ya wilaya ya mtwara mkoani mtwara wamemkataa Diwani wa kata hiyo Patrick Simwinga baada ya kutokea kwa vurugu katika eneo lake la utawala. chanzo cha wananchi kumkataa diwani huyo ni vurugu…
8 July 2022, 14:52 pm
Fahamu uhusiano uliopo kati ya Jamii na kampuni za gesi
Fahamu ushirikiano ulipo kati ya jamii na kampuni ya gesi katika kiwanda kilichopo kata ya Madimba mkoani Mtwara. Makala haya yanaangazia namna gani wananchi wanaweza kupata ajira katika eneo hilo la uchakataji wa Gesi asilia katika kata ya Madimba …
8 July 2022, 14:28 pm
MAKALA: wananchi wakerwa na tabia za kuwatupa watoto
Utupaji wa watoto wachanga mara baada ya kuzaliwa limekuwa ni tukio la kikatili ambalo kwasasa limeonekana kushamili katika jamii katika nchi za kiafrika. Katika tukio la hivi karibuni lililotokea katika msitu uliopo kata ya Naliendele, Jamii fm imeangazia tukio hilo…
7 July 2022, 11:22 am
Makala: Vijana wamejiandaaje na Fursa za Ujenzi wa Kiwanda cha uchakataji wa Ges…
Ujenzi wa Kiwanda cha uchakataji na usindikaji wa Gesi asilia unatarajia kuanza kutekelezwa mkoani Lindi ambapo tayari nchi yetu ya Tanzania imesaini mkataba wa awali wa ujenzi huo. Swali ni je? Vijana wa mikoa ya Mtwara na Lindi wamejiandaaje na…
28 June 2022, 20:46 pm
TAKUKURU Mtwara: Tunawashukuru Waandishi wa Habari na Wadau
Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Mtwara imewashukuru wananchi na taasisi mbalimbali wakiwemo waandishi wa habari kwa namna ambavyo wametoa ushirikiano katika kuelimisha umma kwa mwaka wa fedha unaoishia Juni 30, 2022 huku TAKUKURU ikifikia malengo yake…