Ileje FM

Recent posts

October 7, 2023, 7:37 am

Dc Ileje awapongeza wananchi wa Itale kulinda Misitu

Na Denis Sinkonde, Ileje Mkuu wa Wilaya ya Ileje Mkoa wa Songwe Farida Mgomi amewapongeza wananchi wa Kijiji cha Itale Kata ya Itale wilayani humo Kwa kufuata sheria na kanuni za kulinda utunzaji wa mazingira hususani Msitu wa Itale na…

October 4, 2023, 7:15 am

Mliovamia hifadhi hekta 600 za hifadhi ondokeni haraka Dc Ileje

Na, Denis Sinkonde, Ileje Wananchi vijiji vya Ndapwa kata Ngulilo wilaya ya Ileje mkoa wa Songwe na Kijiji Cha Kiobo wilaya ya Rungwe mkoa wa Mbeya wametakiwa kuondoka na kuacha na uvamizi kwenye hifadhi ya  msitu Kihosa uliopo Kijiji Cha…

October 3, 2023, 6:01 am

DC Ileje aagiza machifu wapewe ushirikiano

Na Denis Sinkonde Mkuu wa wilaya ya Ileje mkoani Songwe Mhe.Farida Mgomi amewaagiza viongozi wa serikali wilayani humo kutoa ushirikiano na machifu kukemea matukio ya uvunjifu wa amani na uharibifu wa mazingira. Mgomi amesema hayo Oktoba 2,2023 ikiwa ni siku…

September 16, 2023, 10:00 am

Waandishi wa habari Ileje Fm wanolewa umuhimu matumizi ya kidigitali

Na Denis Sinkonde Waandishi wa habari kutoka kituo Cha Ileje FM wamenolewa namna bora ya uandishi wa habari za mitandao kwa kuzingatia miiko ya kihabari ili kuchochea mabadiliko kwenye jamii. Wito huo umetolewa Septemba 16 ,2023 na mkufunzi kutoka mtandao…

September 15, 2023, 11:33 am

Serikali yatoa shilingi bilioni 5 ujenzi wa barabara km 5 Ileje

Na Denis sinkonde Mkandarasi aliyesaini mkataba wa ujenzi wa barabara ya lami yenye urefu wa Km 5 yenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 5  Kiwila- Landani wilayani Ileje mkoani Songwe kumaliza kwa mradi kwa wakati. Mkuu wa wilaya ya…

September 15, 2023, 10:36 am

DC Ileje awakabidhi baiskeli wanufaika 25 mradi wa IRDO

Na Sikudhani Minga Mkuu wa wilaya ya Ileje Farida Mgomi amekabidhi zaidi ya baiskeli 25 kwa wananchi wa wilaya ya Ileje ambao ni wanufaika kutoka shirika lisilo la Kiserikali la Integrated Rural Development Organization (IRDO) ambalo limejikita katika kutatua changamoto mbalimbali…

September 12, 2023, 12:22 pm

Wananchi waipongeza serikali kutatua mgogoro wa eneo la kuzika

Na Maoni Mbuba, Songwe Wananchi wa kijiji cha Mbebe kata ya Mbebe wilayani Ileje mkoani Songwe waipongeza serikali kupitia kwa mwanasheria wa halmashauri hiyo kumaliza mgogoro wa maeneo ya kuzika baina ya wananchi kijijini hapo. Wananchi hao wamesema hayo wakati…

September 12, 2023, 7:51 am

RUWASA Ileje walia na uharibifu wa mazingira

Na Denis Sinkonde, Songwe Wakala wa maji na usafi wa mazingira vijijini RUWASA wilayani Ileje mkoani Songwe walia na changamoto ya uharibifu wa vyanzo vya maji hali inayopelekea baadhi ya miradi kutotoa maji kama ilivyokusudiwa.  Hayo yamebainishwa na mratibu wa…

September 11, 2023, 1:12 pm

Wananchi waliovamia ardhi Ileje watakiwa kuondoka

Wananchi waliovamia maeneo yaliyotengwa na wananchi katika kijiji cha Shinji wilayani Ileje mkoani Songwe watakiwa kuondoka Na Denis Sinkonde Agizo hilo limetolewa na mkuu wa wilaya hiyo Farida Mgomi wakati akizungumza na wananchi hao katika mkutano wa hadhara uliofanyika kijijini…