Podcasts
4 July 2023, 2:51 pm
Kipindi cha maisha ni afya
Sikiliza kipindi cha maisha ni Afya kuhusu uboreshaji wa kitengo cha mama,baba na mtoto kutoka Hospital Teule ya Wilaya ya Sengerema SDDH.
July 4, 2023, 2:51 pm
Madiwani manispaa ya Kahama waiomba halmashauri kutenga bajeti ya barabara
Madiwani wa Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga wameiomba halmashauri kutenga bajeti ambayo itasaidia kurekekebisha miundombinu ya barabara zilizopo katika kata ili kupunguza changamoto hiyo kwa wananchi.
4 July 2023, 2:49 pm
Makala: Unafahamu taratibu za kufuata kisheria unapomdai mtu?
Sikiliza Makala ya Tafakari Pevu iliyoandaliwa na Storm FM kuhusu taratibu za kufuata kisheria pindi unapomdai mtu. Sambamba na hilo Makala hii huruka kila siku ya Jumanne saa moja kamili hadi saa moja na dakika thelathini asubuhi na kurudiwa Jumamosi…
4 July 2023, 2:28 pm
Aoza pua baada ya kupondwa na kokoto
Na Amos Inega Minga Rajabu mkazi wa kijiji cha Kazima kata ya Ifucha Manispaa ya Tabora ameomba msaada kwa wasamalia wema baada ya kuishi kwa maumivu zaidi ya miaka 10 kutokana na kuoza pua baada ya kujeruhiwa na kipande cha…
4 July 2023, 2:27 pm
Wanawake mkoani Mara watakiwa kuzingatia muda kujiletea maendeleo
Na Adelinus Banenwa Mjumbe wa halmashauri kuu ya CCM Taifa kupitia umoja wa wanawake UWT Bi Joyce Mang’o amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kuwapeleka wanawake viongozi kupata mafunzo nchini China.
4 July 2023, 2:27 pm
BAKWATA Karagwe waitaka serikali kushughulikia suala la wanafunzi kukosa ibada s…
4 July 2023, 14:23
Mafuriko yakwamisha huduma ya elimu kwa wanafunzi Kigoma
Wananchi wa Mtaa wa Mgumile, kata ya Kagera, manispaa ya Kigoma Ujiji, wameomba serikali kuangalia namna ya kuokoa majengo ya shule ya msingi Mgumile ambayo yamezingirwa na maji ya ziwa Tanganyika na kupelekea miundombinu yake kuharibika.
22 June 2023, 5:20 pm
Fahamu jinsi uchunguzi wa utapiamlo unavyofanyika
Na Yussuph Hassan. Afisa lishe juma swedi anazungumzia utambuzi wa utapiamlo unavyofanyika katika vituo vya afya.
16 June 2023, 1:28 pm
Siku ya mtoto Afrika huadhimishwa kuangalia maslahi mapana ya watoto
Siku ya mtoto wa Afrika inaadhimishwa kwa lengo la kuangalia maslahi mapana ya watoto wa Afrika na huwapasa watu wazima kujitolea kwa hali na mali ili kushughulikia changamoto zinazokabili watoto katika bara zima la Afrika pamoja na kulindwa dhidi ya…
13 June 2023, 16:54 pm
Kipindi: Hali ya mahudhurio darasa la kwanza, awali
Sikiliza kipindi cha dira ya asubuhi juu ya mada Hali ya Mahudhurio Darasa la awali na Darasa la Kwanza kwa Wilaya ya Mtwara Sikiliza hapa