Dodoma FM

ndoa

18 November 2023, 12:44 pm

Uzinduzi wa msimu wa kilimo biashara mkoa wa Mtwara

Wadau wa kilimo kila mmoja anawajibika katika kutekeleza majukumu yake ili kufikia malengo tuliyojiwekea kama mkoa ikiwepo kuondoa changamoto zinazowakabiri wakulima Na Musa Mtepa Mkuu wa mkoa wa Mtwara Kanal Ahmed Abasi Novemba 17, 2023 amefanya uzinduzi wa msimu wa…

10 October 2023, 11:03 pm

Serikali kuwapa wakulima mbinu mpya za kilimo Zanzibar

Wakulima Zanzibar wametakiwa kulima kilimo cha kisasa ili waendane na mapinduzi makubwa ya kilimo ulimwenguni ili waweze kujikomboa kupitia kilimo kwa kujihakikishia kupata chakula cha uhakika. Na Fatma Rashid Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mh. Othamn Masoud Othmani…

30 September 2023, 8:27 am

Wakulima wa mwani Tumbatu watakiwa kuacha mazoea katika kazi zao

Zao loa mwani ni kilimo muhimu ambacho kinafaida katika maisha ya binadamu hivyo ni wajibu kukiendeleza. Na Makame Pandu. Wakulima wa mwani kisiwani Tumbatu wametakiwa kufanya juhudi zitakazowawezezesha kulima zao hilo kwa wingi zaidi ili waweze kujikwamua na umaskini. Akifungua…

22 September 2023, 2:26 pm

Uchechemuaji katika masuala ya kilimo ni muhimu

Kupitia mradi wa ASILI-B unaofadhiliwa na Vi Agroforestry, CSP kwa kushirikiana na BUFADESO wamewakutanisha wadau wa kilimo wilaya ya Bunda na kuunda jukwaa la kilimo. Na Thomas Masalu Kupitia mradi wa ASILI-B unaofadhiliwa na Vi Agroforestry, CSP kwa kushirikiana na…

17 September 2023, 17:20 pm

Ushirika kuuza korosho kidijitali msimu huu

Na Gregory Millanzi Tume ya Maendeleo ya Ushirika (TCDC) wanatarajia kuuza korosho kwa mfumo wa kidijitali kwa msimu wa mazao wa 2023/2024 mfumo ambao utatumia kompyuta kwenye kila chama cha ushirika cha msingi (AMCOS) na kutumia mizani ya kidijitali ili…