Radio Tadio

Uvuvi

15 Aprili 2026, 09:37

Serikali yapokea mtambo wa kuchakata mazao ya uvuvi Kigoma

Mitambo ya kuchakata husaidia kubadilisha samaki na mazao mengine ya uvuvi kuwa bidhaa zenye thamani zaidi kama samaki waliokaushwa, waliogandishwa au waliowekwa kwenye makopo Na Mwandishi wetu Serikali kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi imepokea mtambo wa kisasa wa kuzalisha…

28 Machi 2026, 12:49 um

Kasi ya usambazaji umeme Nyang’hwale yawakosha wananchi

Wakazi wa Kitongoji cha Elimu, Kijiji cha Kaboha wilayani Nyang’hwale mkoani Geita wameipongeza serikali kwa kufanikisha upatikanaji wa nishati ya umeme katika eneo hilo, hatua iliyosaidia kuondoa changamoto ya kusafiri umbali mrefu kwenda vijiji jirani kufuata huduma za kukoboa mpunga…

18 Machi 2026, 4:43 um

TANROADS Simiyu waanza ujenzi wa barabara ya heavy weight

“Tunahitaji kuwa na miundombinu imara ya barabara ili kulinda usalama wa vyombo vya usafiri pamoja na watumiaji wake maana siku hizi kelele zimekuwa nyingi sana kutoka kwa watumiaji wa barabara juu ya ubovu wake na namna ambavyo unachangia kuhari vyombo…

17 Machi 2026, 6:19 mu

RC Macha ataka elimu ya matumizi ya barabara

“Mkuu wa mkoa wa Simiyu Anamringi Macha ameagiza watu wote wanoharibu miundombinu ya barabara kwa namna mbalimbali ikiwemo kupitisha mifugo kwenye barabara za lami mkoani humo wapatiwe elimu juu ya matumizi ya barabara na baada ya kuelemishwa wale wote watakaoendelea kufanya shughuli zinazoharibu miundombinu…

19 Febuari 2026, 1:03 um

Jeshi la zimamoto na uokoaji lapata mtambo wa kisasa

“Kuna wilaya zingine hazina hata gari la zimamoto la kisasa kama hili lenye uwezo mkubwa wa kubeba tani tano lakini sisi tumepata lazima tukatunze sana huo mtambo ili uwasaidie wananchi panapotokea changamoto ya moto tuweze kuzima ili kuzuia madhara kwa…

30 Januari 2026, 11:18 mu

Mwedukenya aupiga mwingi kitongoji cha Laizer

Na Nyangusi Olesang’ida Mwenyekiti wa Kitongoji cha Laizer, kata ya Oligilai Mkoani Arusha Willguard Eliakimu Medukenya, amewataka wananchi wa Kata ya Oligilai kujitokeza kujiandikisha kwa Diwani wa Kata ili kupata huduma ya umeme kupitia mradi wa REA. Mwedukenya ametoa wito…

12 Januari 2026, 1:45 um

Wabunge Simiyu walia na ubovu wa miundombinu ya barabara

“Ndiyo kusema wakandarasi wanaojenga barabara za lami hawajui ni aina gani ya magari yanayotakiwa kutumia hiyo miundombinu au ndiyo kusema wanatimiza wajibu tu maana haiwezekani kila baada ya muda mchache tunaanza kuweka viraka hata barabara haijamaliza hata mwaka mmoja hapa…

5 Januari 2026, 6:39 um

Walimu wakuu, tehama Mbozi wapata mafunzo ya SIS

Ni mafunzo ya mfumo wa School Information System. Na Devi Moses JUMLA  ya walimu 110 kutoka Wilaya ya Mbozi mkoani Songwe wameshiriki mafunzo ya matumizi ya mfumo wa School Information  System (SIS) yaliyofanyika ukumbi wa Shule ya Sekondari Vwawa Day. Mafunzo hayo…

5 Disemba 2025, 09:05

Nyavu haramu 197 zateketezwa Uvinza

Mkuu wa Wilaya Uvinza Mkoani Kigoma Dinah Mathamani amesema wataendelea kufanya oparesheni ili kubaini na kukamata nyavu haramu zinazotumiwa na wavuvi ndani ya ziwa Tanganyika Na Mwandishi wetu Serikali wilayani Uvinza imeziteketeza nyavu haramu 197 katika Kijiji cha Rubengela kata…