Radio Tadio

Utalii

14 July 2026, 12:53

Dc Kilombero aagiza changamoto usafi Ifakara kutatuliwa

“Soko letu linakabiliwa na changamoto mbalimbali ikiwemo uchafu, kukosekana kwa choo bora pamoja na ulinzi hivyo tunaiomba Serikali kupitia Halmashauri ya Mji wa Ifakara itusaidie kutatua changmoto hizi ili tuendelee na biashara zetu“Wafanyabiashara Na Kuruthumu Mkata Mkuu wa Wilaya ya…

23 June 2026, 14:47

Wajane watakiwa kupigania haki zao kisheria Kigoma

Wajane ni kundi muhimu katika jamii ambalo mara nyingi hukumbana na changamoto mbalimbali za kijamii, kiuchumi na kisheria baada ya kufiwa na wenza wao na ni muhimu kwa wajane kutambua na kupigania haki zao ili waweze kuishi maisha bora na…

19 June 2026, 20:44

Mahakama tatu za mwanzo zazinduliwa Kigoma

Uzinduzi wa mahakama hizo kunatajwa kusogeza huduma karibu na wananchi ambao walitumia muda mwingi kufuata huduma za mahakama mbali na maeneo yao Na Timotheo Leonard Mahakama za Mwanzo za Bangwe, Herujuu na Manyovu zimezinduliwa rasmi leo Juni 19, 2026 mkoani…

13 May 2026, 11:40

Mtatifikolo: Nipo tayari kuwatumikia Wanaismani

Na Hafidh Ally Wananchi wa Tarafa ya Pawaga Kata ya Itunundu Wilaya ya Iringa Vijijini wamejitokeza katika Uzinduzi wa Kampeni za Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Isimani kupitia Mgombea Ubunge kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi CCM Emmanuela Mtatifikolo. Wananchi…

May 12, 2026, 9:38 am

Madiwani na Watumishi kuchangia elfu 12 za taka

‎Pendekezo hilo la kutoa shilingi 1,000 kila mwezi kama ada ya taka limetolewa na Meya Acton Rwankomezi kutokana na kutozolewa taka kwa wakati sababi ikiwa ni ukosefu wa magari ya kubeba taka Na Enock Yoronimo- Bukoba, KAGERA Kutokana na changamoto…

6 February 2026, 3:19 pm

34 wadakwa kwa makosa mbalimbali Katavi

SACP Kaster Ngonyani kamanda wa polisi Katavi. Picha na Anna Mhina “Tumefanikiwa kuwakamata watuhumiwa 34 kwa makosa mbalimbali” Na Anna Mhina Jeshi la polisi mkoa wa Katavi limeendelea kuimarisha ulinzi na usalama kwa raia na mali zao kwa kufanya operasheni,…