Radio Tadio

Utalii

25 October 2023, 11:23 am

Chato Utalii Festival kuvutia wawekezaji

Mkakati wa wilaya ya Chato kutangaza fursa za uwekezaji katika sekta ya utalii umeanza kupitia matamasha mbalimbali. Na Mrisho Sadick: Wilaya ya Chato imepanga kutumia tamasha la Chato Utalii Festival kuvutia wawekezaji katika sekta ya Utalii kwakuwa wilaya hiyo ina…

23 September 2023, 8:06 am

Faru kivutio cha watalii hifadhi ya Serengeti

“Natoa rai kwa wananchi wote washiriki kuhakikisha kwamba Faru wanaendelea kubaki kwa ajili ya kizazi kilichopo na cha baadaye” Dkt Vincent Mashinji Na Thomas Masalu. Imebainishwa kuwa uwepo wa mnyama faru katika hifadhi ya taifa ya Serengeti unavutia watu wengi…

14 September 2023, 20:00

Tupo tayari kuboresha utalii nchini -REGROW

Wahenga wanasema jasiri haachi asili hivyo ndivyo unaweza kusema kutokana na kile ambacho kimekuwa kikifanywa na wizara ya maliasili na utalii nchini Tanzania kutokana na kudumisha mila na destriĀ  ya mtanzania hasa katika kuenzi ngoma za asili na vyakula kwa…

9 August 2023, 17:56 pm

Uzinduzi msimu utalii wa nyanguni Msimbati

Na Grace Hamisi Wananchi wa kata ya Msimbati mkoani Mtwara wametakiwa kujipanga na kupokea mabadiliko juu ya wageni wanaotembelea na kujifunza vivutio mbalimbali vilivyopo katika maeneo hayo. Wito huo umetolewa August 5, 2023 na Bi Esha Chilonda afisa mtendaji wa…

4 August 2023, 10:09

Jamii yatakiwa kuzingatia maadili

Maadili nchini yanaonekana kuendelea kuporomoka hali inayosababisha jamii kuendelea kupotoka na kusababisha jamii kuwa katika hali ngumu ya maisha hasa kufanyiwa ukatilii. Na, Josephine Kiravu Jamii Mkoani Kigoma imetakiwa Kujiepusha vitendo vilivyo kinyume na maadili ya Kitanzania kuanzia ngazi ya…

20 July 2023, 5:06 pm

Ifahamu maana halisi ya jina Bahi

Kila jina huwa na maana au asili je jina Bahi lina maana gani na asili yake ni nini? Na Yussuph Hassan. Wilaya ya Bahi ni mojawapo kati ya wilaya saba za mkoa wa Dodoma. Wilaya hii ilianzishwa rasmi mwaka 2007…