Radio Tadio

Utalii

23 November 2022, 1:45 pm

Wananchi watakiwa kujitokeza kupata elimu ya utalii.

Na; Benard Filbert. Wakazi wa Mkoa wa Dodoma wameombwa kujitokeza  kwenye tamasha la utalii katika eneo la Nyerere square  tarehe 26 mwezi huu kwa  lengo la kupata elimu ya utalii. Hayo yameelezwa na Dorothea Masawe  kutoka Mamlaka ya Usimamizi wa…

23 October 2022, 9:47 am

Onesho La S!Te 2022 Kufungua Fursa Za Utalii

NAIBU Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (Mb) amesema uwepo Onesho la Kimataifa la Utalii la Swahili (S!TE) katika Jiji la Dar es Salaam ni fursa kubwa kwa jijini hilo kutangaza vivutio vyake. Amesema kuwa Jiji la Dar…