Ujenzi
15 February 2023, 11:14 am
Baraza La Taifa la Ujenzi lajipanga kutekeleza Majukumu Tisa
Na Fred Cheti. Baraza La Taifa la Ujenzi limesema kwa Mwaka 2023 limejipanga kutekeleza Majukumu Tisa ambapo ni pamoja na kukamilisha muongozo wa gharama za ujenzi wa barabara Nchini kwa kuandaa gharama za msingi za Mkandarasi katika kutekeleza kazi mbalimbali…
7 February 2023, 2:49 pm
Kituo cha Polisi Ifakara ni chakavu-Dc Kyobya
Na Kuruthum Mkata Uchakavu wa Jengo na miundo mbinu mibovu ya umeme katika Kituo cha Polisi cha Wilaya ya Kilombero kilichopo Ifakara ,imepelekea Mkuu wa Wilaya ya Kilombero wakili Dunstan Kyobya kuagiza kufanya marekebisho ikiwa ni pamoja na kupaka rangi…
3 February 2023, 11:39 am
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Ataka Ujenzi ukamilike
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mh. Rosemary Senyamule amewataka wasimamizi wa ujenzi wa kituo cha Afya cha Itiso kilichopo wilayani Chamwino kuharakisha ukamilishaji wa ujenzi wa kituo hicho ili kianze kutoa huduma kwa wananchi. Na Fred Cheti Mkuu huyo wa…
4 January 2023, 8:30 am
Wanachama wa CCM Nyarugusu wachangia ujenzi wa ofisi ya chama.
Na Kale Chongela: Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM ) Kata ya Nyarugusu wilayani Geita kwa kauli moja wameamua kuchangishana fedha kwa ajili ya ujenzi wa Ofisi ya chama ya Kata itakayogharimu kiasi cha Shilingi Milioni ( 50 ) ili…
15 December 2022, 4:47 pm
Wilaya ya Maswa kuandikisha Watoto wa Darasa la Awali 13,000 kwa Mwaka…
Imeelezwa kuwa Wilaya ya Maswa Mkoa wa Simiyu hadi kufikia mwezi Novemba , 2022 Imefanikiwa Kuandikisha Watoto wa Darasa la Awali Elfu Saba (7000) Sawa na Asilimia Hamsini na Mbili (52%) ya Makisio yote ya Watoto Elfu kumi na tatu…
15 December 2022, 10:17 am
Majengo mapya kujengwa katika makao makuu ya tarafa Tanganyika
TANGANYIKA Katika kuimarisha huduma za kimahakama mkoani Katavi Serikali imejipanga kujenga majengo mapya katika makao makuu ya tarafa zote wilayani Tanganyika. Hayo yamesemwa na naibu waziri wa katiba na sheria Geofrey Pinda wakati wa ziara ya waziri Mkuu Kassim Majaliwa…
8 November 2022, 8:52 am
Mkurugenzi Halmashauri ya Meatu amwamuru Mkandarasi kubomoa Msingi aliojenga …
SIMIYU: Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Meatu Mkoani Simiyu Msoleni Dakawa, ameamuru kubomolewa kwa msingi wa madarasa manne, uliokuwa unaendelea kujengwa katika Shule ya Sekondari Sakasaka iliyopo wilayani hapo baada ya kubaini umejengwa chini ya kiwango. Aidha Mkurugenzi…
11 October 2022, 5:03 pm
Wananchi wa kijiji cha Zebeya Wamemshukuru Rais Samia kwa kutoa Fedha Za…
Wananchi wa kijiji cha Zebeya kilichopo Kata ya Senani Wilayani Maswa Mkoani Simiyu Wamemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Samia Suruhu Hasani kwa kutoa Fedha Zaidi ya Shilingi Bilioni 1.6 kwa Ajili ya Ujenzi na Ukarabati wa …
31 May 2022, 10:48 pm
Serikali inaendelea kuwaboreshea mazingira ya kazi.
Na mwandishi wetu. Serikali kupitia wizara ya Afya, inaendelea na mkakati wa kuboresha miundombinu ya huduma za afya, unaoenda sambamba na ujenzi wa nyumba za watumishi wa Afya, ili wahudumu kuwa na makzi katika maeneo yao ya kazi pamoja…
30 April 2021, 12:01 pm
TACAIDS yawajengea uwezo wasichana kutambua haki zao
Na; Mariam Matundu. Tume ya kudhibiti Ukimwi nchini TACAIDS chini ya uratibu wa masuala ya ukimwi kwa mtazamo wa kijinsia imetoa mafunzo kwa wasichana na wanawake wanaoishi na virusi vya ukimwi ili kuwapatia utambuzi wa haki zao za msingi katika maeneo yao. Akizungumza…