Sheria
17 November 2023, 10:08 AM
Masasi waonywa kutotumia walemavu kujiingizia kipato
MASASI. Jamii wilayani Masasi imetakiwa kutowatumia watu wenye changamoto ya ulemavu kama sehemu ya kujiingizia kipato kwani kufanya hivyo ni kosa kisheria. Wito huo umetolewa na wakili wa kujitegemea wilayani humo Kida Mwangesi, katika studio za Radio Fadhila wakati akiwasilisha…
12 November 2023, 11:00 am
Mzee wa miaka (62) ahukumiwa miaka 30 jela kwa kosa la ubakaji
Mahakama ya wilaya ya Bunda imemuhukumu Nyakurunduma Matutu kuboja (62) mkazi Kiroreli kifungo cha miaka 30 jela kwa kosa la kumbaka mtoto mwenye umri wa miaka kumi. Na Adelinus Banenwa Mahakama ya wilaya ya Bunda imemuhukumu Nyakurunduma Matutu kuboja (62)…
9 November 2023, 6:09 am
TLS Iringa kumtetea aliyehukumiwa miaka 22 kwa kuuza nyama ya swala
Na Frank Leonard Chama cha Mawakili wa Tanganyika (TLS) Kanda ya Iringa kimewataja mawakili 10 kiliowapanga katika maandalizi hadi usikilizwaji wa rufaa ya hukumu ya kesi ya uhujumu uchumi namba 28 ya mwaka 2022 inayomhusu mjane Maria Emirio Ngoda aliyehukumiwa miaka…
4 November 2023, 00:14
Polisi Mbeya yakanusha kukamatwa kwa wakili Mwabukusi na Mdude Nyagali
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linapenda kutoa ufafanuzi kuhusu taarifa zisizo rasmi kuwa Wakili Boniface Mwabukusi na Mdude Nyagali wamekamatwa na Polisi wakiwa na baadhi ya waandishi wa habari. Na Hobokela Lwinga Taarifa hizo ni za upotoshaji, hazina ukweli…
3 November 2023, 6:44 pm
Ahukumiwa miaka30 kwa kumbaka mwanae.
Mtukio ya ukatiri wa kijinsia yamekuwa yakijitokeza katika familia nyingi wilayani Sengerema huku baadhi yao wakiyafumbia macho jambo linalo hatarisha na kusababisha kuendelea kushamili kwa matukio hayo. Na;Joyce Rollingstone. Mkazi wa kijiji cha Nyamizeze Wilayani Sengerema mkoani Mwanza,Samson Paschal Mibulo…
1 November 2023, 7:51 pm
Wakala afikishwa mahakamani kwa kosa la uhujumu uchumi Rungwe
Na Mwandishi wetu: Rungwe – Mbeya Wakala wa kukusanya ushuru katika halmashauri ya wilaya ya Rungwe amefikishwa mahakamani kutokana na kesi ya uhujumu uchumi. Oktoba 30, 2023 katika Mahakama ya Wilaya Rungwe, mbele ya Hakimu Mhe. Mwinjuma Bakari Banga imefunguliwa…
30 October 2023, 2:09 pm
Bahi Sokoni waanza utaratibu wa kusoma mapato na matumizi
kupitia mkutano huo elimu mbalimbali zilitolewa ikiwemo suala la ukatili wa kijinsia. Na. Bernad Magawa. Kijiji cha Bahi Sokoni wilayani Bahi kimeanza kutekeleza kwa vitendo agizo la Mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Bahi Zaina Mlawa alilolitoa hivi karibuni…
11 October 2023, 3:55 pm
Mrindoko: Serikali itaendelea kuwachukulia hatua wahusika wa vitendo vya uharifu
Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Hoza Mrindoko amesema serikali mkoani hapa itaendelea kuwachukulia hatua kali wahusika wote wa vitendo vya uharifu. KataviMkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Hoza Marindoko amesema kuwa serikali mkoani hapa itaendelea kuwachukulia hatua kali wahusika…
9 October 2023, 12:37 pm
TRA Katavi yatoa elimu ya mabadiliko ya sheria mpya za kodi
MpimbweMamlaka ya Mapato Tanzania TRA Mkoa wa Katavi imetoa elimu ya mabadiliko ya sheria mpya za kodi kwa wafanyabiashara wa halmashauri ya Mpimbwe pamoja na kusikiliza kero na kuzipatia ufumbuzi. Akizungumzia utoaji wa elimu hiyo Meneja wa TRA mkoa wa…
4 October 2023, 08:59
Watoto wenye umri chini ya miaka mitano kupatiwa vyeti vya kuzaliwa bure Kigoma
Wakazi wa mkoa wa Kigoma wamefurika katika viwanja vya mwanga manispaa ya Kigoma Ujiji, ili kusajili na kupatiwa vyeti vya kuzaliwa kwa watoto walio chini ya umri wa miaka mitano. Na, Tryphone Odace Wazazi na Walezi wenye Watoto chini ya…