Sheria
2 February 2024, 00:40
Maadhimisho ya Siku ya Sheria yafana Kyela
Mkuu wa wilaya ya Kyela Josephine Manase ameipongeza mahakama ya wilaya ya Kyela kwa kazi ya utoaji haki kwa jamii ya wanakyela kwa ujumla. Na Nsangatii Mwakipesile Maadhimisho ya siku ya Sheria hapa nchini Tanzania yamefanyika hapa wilayani Kyela huku…
1 February 2024, 22:39
RC Dendego amwagiza DED manispaa ya Iringa kutenga eneo ujenzi wa mahakama
Na Moses Mbwambo, Iringa Mkuu wa mkoa wa Iringa Mhe. Halima Dendego ameuagiza Uongozi wa Manispaa ya Iringa kutenga eneo jipya kwa ajili ya ujenzi wa Mahakama baada ya majengo ya mahakama yaliyopo kuonekana eneo lake limebanana. Mhe. Dendego ameyasema…
1 February 2024, 9:14 pm
Mifumo ya mahakama iliyoboreshwa yapunguza idadi ya mahabusu gereza kuu la Arush…
“Wahalifu walipo gereza la Kisongo ni 704,asilimia 70 ni wafungwa na 30 ni mahabusu,tofauti na miaka ya nyuma ambapo ilikuwa kinyume chake” Na. Anthony Masai. Jaji Mfawidhi Mahakama Kuu kanda ya Arusha Jaji Joackim Tinganga,amesema mabadiliko makubwa yaliyofanyika kwenye mifumo…
1 February 2024, 7:56 pm
Kilele cha wiki ya sheria nchini, Bunda ukatili kwa watoto bado upo
Mkuu wa wilaya ya Bunda Dkt Vicent Aney Naano amevitaka vyombo vinavyosimamia sheria kuhakikisha haki inatendeka hasa katika kesi zinazohusu ukatili wa kijinsia. Na Adelinus Banenwa Mkuu wa wilaya ya Bunda Dkt Vicent Aney Naano amevitaka vyombo vinavyosimamia sheria kuhakikisha…
February 1, 2024, 6:31 pm
Wananchi wahimizwa kufuata sheria pindi matukio ya uharifu yanapojitokeza
Imeelezwa kuwa elimu ni nguzo pekee ya wananchi kuweza kutambua sheria ili kufahamu haki na wajibu wao pindi ambapo wanapokuwa na changamoto mbali mbali pamoja na kutoa ushirikiano na vyombo husika katika kufanikisha haki inatendeka pindi ambapo uharifu unapojitokeza Na…
1 February 2024, 4:15 pm
Watumishi wa mahakama Bunda watoa msaada wa magodoro gereza la Bunda
Mahakama ya wilaya ya Bunda kwa kushirkiana na wadau wa masuala ya sheria wametoa msaada wa magodoro kwenye gereza la Bunda. Na Adelinus Banenwa Mahakama ya wilaya ya Bunda kwa kushirkiana na wadau wa masuala ya sheria wametoa msaada wa…
1 February 2024, 2:47 pm
Wananchi wametakiwa kutoa ushirikiano kwenye vyombo vya maamuzi Rungwe
katika kuadhimisha siku ya sheria jamii pamoja na wadau mbalimbali wameaswa kuwa na utaratibu wa kutoa ushirikiano kwa vyombo vya maamuzi kama mahakama. Aakimu mkazi mfawidhi wa mahakama ya wilaya akizungumza na wadau washeria[picha na Lennox Mwamakula] RUNGWE-MBEYA Na Lennox…
31 January 2024, 22:29
Kyela: Manase mgeni rasmi kilele cha Sheria Kyela
Mkuu wa wilaya ya Kyela Josephine Manase anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya siku ya sheria hapo kesho katika viwanja vya mahakama ya wilaya ya Kyela. Na Nsangatii Mwakipesile Kuelekea kelele cha maadhimisho ya siku ya sheria hapa nchini…
31 January 2024, 8:14 pm
Jaji Mkuu aibua hoja kukabiliana na uharifu nchini
Kongamano hilo limeandaliwa na Mahakama ya Tanzania kupitia chuo cha uongozi wa Mahakama Lushoto (IJA) . Na Mindi Joseph.Jaji mkuu wa Tanzania Prof. Ibrahim Juma leo amefungua kongamano la siku moja la kujadili masuala ya makosa ya uharifu jijini Dodoma.…
31 January 2024, 1:29 pm
Asilimia 90 kesi zinazoripotiwa mahakama ya wilaya Uyui ni za ubakaji
Asilimia 90 ya kesi zinazoripotiwa katika mahakama ya Wilaya ya Uyui Mkoani Tabora ni za ubakaji. Na Zaituni Juma Hakimu mkazi Mfawidhi Mahakama ya wilaya ya Uyui mkoani Tabora Tausi Mongi amesema asilimia 90 ya kesi zinazoripotiwa katika mahakama hiyo…