Miundombinu
31 May 2023, 5:11 pm
DUWASA kuchimba visima 30 kuanzia Julai
Hadi kufika mwaka 2051 Duwasa inatarajia kuzalisha lita za maji milion 417 kwa siku. Na Mindi Joseph. Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA) inatarajia kuchimba visima 30 vya maji katika maeneo yote mkoani Dodoma kuanzia mwezi…
30 May 2023, 10:14 am
Mradi wa BOOST Kilosa kujenga shule mpya Mtumbatu
Serikali imedhamiria kuondoa adha za sekta ya elimu nchini kwa kuwaletea mradi wa Boost ambao umeanzishwa kwa makusudio ya uboreshaji wa miundombinu kwa madarasa ya awali na msingi, kuimarisha mapito ya wanafunzi wa awali na msingi kwa kuweka mpango wa…
26 May 2023, 10:47 am
TAKUKURU yabaini mapungufu wilaya ya Tanganyika
KATAVI Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoa wa Katavi imebaini kuwepo kwa mapungufu yakiwemo usimamizi mbovu wa ujenzi wa miradi, ukiukwaji wa mikataba na ucheleweshaji wa kukamilisha miradi mitano katika halmashauri ya wilaya ya Tanganyika mkoani hapa.…
19 May 2023, 6:42 pm
Chamwino watakiwa kukamilisha miradi kwa wakati
Katika ziara hiyo ya kikazi katibu Tawala amekagua maendeleo ya ujenzi wa jengo la Ofisi za Wilaya ya Chamwino, Zahanati ya Kijiji Cha Wilunze na Mradi wa ujenzi wa vyumba viwili vya maabara ya kemia na baiolojia katika Shule ya…
17 May 2023, 12:54 pm
Wenyeviti wa vijiji Bahi watakiwa kuweka wazi mapato na matumizi kwa wananchi
Viongozi wa eneo hilo pia walilalamika wananchi wao kukosa huduma ya maji safi na salama kwa muda mrefu. Na Bernad Magawa. Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Bahi Stuwart Masima amewaagiza wenyeviti wa serikali vijiji wilayani humo kuhakikisha wanasoma mapato na…
17 May 2023, 10:18 am
Madereva Mpanda walia na ubovu wa barabara
MPANDA Watumiaji wa vyombo vya moto Halmashuri ya Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi walalamikia ubovu wa miundombinu ya barabara na kutaka marekebisho yafanyike na mamlaka husika. Wakizungumza na Mpanda Redio FM wamesema hali ya barabara siyo ya kuridhisha kwani barabara…
16 May 2023, 10:35 am
Mbunge Kabati ahoji mpango wa serikali kukarabati barabara ya Nyang’oro
Na Hafidh Ally Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa iringa Dkt. Ritta Kabati ameiomba serikali kutenga fedha za kukarabati barabara ya Dodoma-Iringa katika mlima Nyang’oro. Kabati ameyasema hayo bungeni jijini Dodoma katika kipindi cha maswali na majibu huku akihoji ni…
12 May 2023, 3:19 pm
Wakazi wa Ilangali waiomba serikali kuboresha machimbo ya Madini
Wananchi hao wameiomba Serikali kuyatazama machimbo hayo kwa jicho la tofauti ili yaweze kuwa msaada mkubwa wa kutatua changamoto mbalimbali za kijiji hicho. Na Victor Chigwada. Wananchi wa kijiji cha Ilangali Kata ya Manda wameilalamikia Serikali kwa kushindwa kuboresha machimbo…
12 May 2023, 8:15 am
Barabara ya Mpanda – Karema Mbioni Kuanza Ujenzi
TANGANYIKA Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi anae shughulikia Sekta ya Ujenzi Ludovick Nduhye amefanya ziara ya kutembelea barabara ya kutoka Mpanda kwenda Bandari ya Karema ambayo inatarajiwa kuanza kujengwa hivi karibuni mwaka huu kwa kiwango cha…
11 May 2023, 4:26 pm
Mbunge wa jimbo la Bahi atoa millioni 16 ujenzi wa Zahanati ya Mapinduzi Kigwe
Amesema zahanati hiyo itawaondolea adha wananchi hao ya kufuata huduma za afya kituo cha afya kigwe. Na Bernad Magawa. Mbunge wa jimbo la Bahi Mheshimiwa Kenneth Nollo ametoa Millioni 16 kujenga zahanati ya kijiji cha Mapinduzi kata ya kigwe ikiwa…