
Miundombinu

1 September 2023, 11:41
TPA Kigoma yadhamiria kuboresha usafirishji mafuta kwenda Burundi
Katika kuboresha huduma za usafirishaji, Mamlaka ya Bandari Tanzania mkoani Kigoma imesema inaendelea kuboresha usafirishaji wa mafuta kwa nchi ya Burundi. Na, Tryphone Odace Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania TPA mkoa wa Kigoma, imeanza kuchukua hatua za kuboresha nyanja…

30 August 2023, 4:18 pm
Bilion 20.6 zatarajiwa kujenga eneo la kupumzikia Swaswa
Inasemekana bwawa hilo limekauka kutokana na shughuli za kibinadamu zilizokuwa zikifanyika katika eneo hilo ikiwemo shughuli za kilimo. Na Mindi Joseph. Shilingi Bilion 20.6 zinatarajiwa kutumika katika ujenzi wa Mradi wa eneo la Kupumzikia baada ya Bwawa la Swaswa lililopo…

29 August 2023, 4:16 pm
Zaidi ya milioni 300 zakamilisha ujenzi shule ya msingi Swaswa
Mtaa wa Swaswa una wakazi wapatao 10,941 huku shauku ya wanafunzi na wazazi ikiwa ni kuona shule hiyo inaanza kutumika baada ya kukamilika kwa ujenzi, usajili na miundombinu mingine. Na Mindi Joseph. Zaidi ya shilingi milioni 300 zimetumika katika ujenzi…

29 August 2023, 10:05 am
Kizungumkuti Barabara ya Kabungu – Karema
TANGANYIKA. Baadhi ya Wananchi Mkoani Katavi wanaotumia Barabara ya Kabungu kwenda Karema wamelalamikia ubovu wa miundombinu ya barabara hiyo na kuitaka serikali kuifanyia matengenezo kwa kiwango cha lami. Wakizungumza na mpanda redio fm kwa nyakati tofauti wananchi hao wameleeza kuwa…

27 August 2023, 12:33 pm
Wananchi mamlaka ya mji mdogo Katoro walia na TARURA
Changamoto ya barabara za mitaa katika mamlaka ya mji mdogo wa Katoro imekuwa ya muda mrefu kiasi cha wananchi wa eneo hilo kuibuka tena na kutoa ya moyoni. Na Zubeda Handrish- Geita Baadhi ya wananchi wa kata ya Ludete katika…

21 August 2023, 5:58 pm
Mapato ya ndani kukamilisha kituo cha afya Nagulo Bahi
Kituo hicho cha afya kimetumia mapato ya ndani katika ujenzi wake huku wananchi wakichangia milion 6 na Mbunge wa jimbo hilo akichangia milion 6. Na Mindi Joseph. Jumla ya shilingi milion 62 zimetumika katika ujenzi wa kituo cha afya wilayani…

17 August 2023, 1:12 pm
Ubovu wa barabara wawaibua wananchi Ikunguigazi Geita
Kuelekea msimu mpya wa mvua wananchi wilayani Mbogwe wamezihofia barabara zao zikiwemo zilizotelekezwa kwa muda mrefu huenda zikawapa changamoto iwapo hazitafanyiwa marekebisho. Na Nicholous Lyankando: Wananchi wa vijiji vya Ikunguigazi na Nyikonga wilayani Mbogwe mkoani Geita wamesikitishwa na kitendo cha…

14 August 2023, 1:54 pm
Bandari Pemba yakusanya zaidi ya bilion 2
Kamati ya Bajeti ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar imetembelea bandari ya Mkoani Pemba na kushuhudia madadiliko katika bandari hiyo ikiwemo katika njia ya kupitia abiria ambapo sasa abiria wanaweza kupita bila ya kupigwa na jua au mvua inaponyesha. Na Is-haka Mohammed…

8 August 2023, 4:46 pm
Wafanyabiashara wa kokoto waomba bei elekezi
Ni muhimu kuwepo kwa upangaji na usimamizi wa bei elekezi katika shughuli mbalimbali za kibiashara, ili kuepusha migongano kati ya wafanyabiashara kutokana na kujipangia bei zao wenyewe na ushawishi binafsi kutoka kwa wateja. Na Neema Shirima. Baadhi ya Wafanyabiashara wa…

3 August 2023, 3:53 pm
Ujenzi wa madarasa shule ya msingi Magungu wafikia asilimia 85
Shule ya msingi Magungu awali ilikuwa na madarasa 2 na kusababisha wanafunzi kusoma kwa kupokezana. Na Mindi Joseph. Ujenzi wa Madarasa Mapya 9 na matundu ya vyoo 16 katika shule ya Msingi Magungu Wilayani Chemba kupitia mradi wa BOOST umefikia…