Radio Tadio

Migogoro

4 Oktoba 2023, 12:12 mu

Wilaya tatu Morogoro zanufaika na elimu ya msaada wa kisheria

wananchi wakifuatilia mafundisho kutoka kwa mwezeshaji wa Morogoro Paralegal Center – Picha Isidory Kituo cha msaada wa kisheria Morogoro Paralegal Center(MPLC), katika ziara ya uhamasishaji (outreach) kimebaini changamoto za kisheria kwa wakazi wilaya za Kilombero, Malinyi na Ulanga, ambao wanakabiliwa…

29 Septemba 2023, 10:30 um

Bodaboda Geita wagoma kuzika wakiwadai rambirambi viongozi wao

Suala la kupewa pesa pungufu unapotokea msiba wa bodaboda mwenzao katika chama cha bodaboda mkoa wa Geita, limewaibua bodaboda hao na kuamini viongozi wao wana kawaida ya kula rambirambi. Na Zubeda Handrish- Geita Waendesha boda boda mkoani Geita wamegoma kufanya…

24 Agosti 2023, 8:39 mu

Wakulima Kasokola walizwa na mifugo

MPANDA Baadhi ya wakulima katika kata ya Kasokola halmashauri ya manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wamelalamikia wafugaji kulisha mifugo kwenye mazao yao hali ambayo inawarudisha nyuma kiuchumi. Wamebainisha hayo katika mkutano wa hadhara mbele ya mkuu wa wilaya ya Mpanda…

18 Agosti 2023, 10:06 mu

Sakata bwawa la Milala lazidi kufukuta

MPANDA Wananchi wa kitongoji cha Bwawani mtaa wa Kigamboni wanaoishi pembezoni mwa bwawa la Milala mkoani Katavi wamelalamikia ucheleweshwaji wa fidia na taarifa kuhusu makazi yao, ambayo walisimamishwa kufanya shughuli zote za kimaendeleo. Wakizungumza na Mpanda Radio fm wananchi hao…

9 Agosti 2023, 7:13 mu

Kapufi aahidi kushughulikia mgogoro bwawa la Milala

MPANDA Baadhi ya wakazi wa kata ya Minsukumilo ambao walipisha kufanya shughuli za uzalishaji pembezoni mwa bwawa la milala wameomba kupata hatma yao mara baada ya kupisha uendelezaji. Wameyasema hayo wakati wa ziara ya mbunge wa Jimbo la Mpanda mjini…