Migogoro
21 Julai 2023, 9:12 um
Mikakati kupambana na wanyama waharibifu yawekwa wazi Bunda
Kuongeza magari, kuweka uzio wa waya na kuongeza vituo vya vikosi vya kudhibiti wanyamapori waharibifu ni miongoni mwa mikakati iliyojadiliwa katika kusaidia kilio cha wananchi wanaopakana na hifadhi ya Serengeti jimbo la Bunda. Na Edward Lucas Mkuu wa Wilaya ya…
Julai 3, 2023, 12:43 um
Tanzania yapokea wakimbizi 11,049 toka DRC ndani ya miezi mitano
Mkurugenzi idara ya huduma kwa wakimbizi nchini Tanzania Bw. Suddy Mwakibisa amesema serikali ya Tanzania imepokea waomba hifadhi 11,049 kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) kwa kipindi cha mwezi Januari hadi Mei 30 2023. Na; Amina Semagogwa Serikali ya Tanzania …
30 Juni 2023, 10:29 mu
Ajinyonga Katavi kisa ugomvi na mkewe
MPANDA Mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Ali Dodoma Shedrack[32] mkazi wa mtaa wa Msasani kata ya Mpanda Hotel manispaa ya Mpanda mkoani Katavi amekutwa amejinyonga nyumbani kwake huku chanzo cha tukio hilo likisadikika kuwa ni ugomvi kati yake na…
7 Juni 2023, 10:22 mu
Wananchi Dirifu waomba ufafanuzi kuhusu RK
MPANDA Wananchi wa kijiji cha Dirifu wameuomba uongozi wa mkoa wa Katavi kutolea ufafanuzi juu ya uwepo wa mwekezaji (Raymond Kamtoni RK ) katika machimbo ya mlima wa kijiji hicho. Wakizungumza katika mkutano wa mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua…
18 Aprili 2023, 13:24
Migogoro baina ya viongozi Bolisa yazorotesha maendeleo
Katibu wa jumuiya ya wazazi wa chama cha mapinduzi wilayani humo amekemea mwenendo wa migogoro hiyo kwani itawagharimu katika uchaguzi ujao wa serikali za mitaa. Na Nizar Mafita. Migogoro na maslahi binafsi ya viongozi na wananchi katika Kata ya Bolisa…
6 Aprili 2023, 9:57 mu
Mkazi wa Ibindi Ajinyonga Nyumbani Kwake
KATAVI Mtu mmoja anayefamika kwa jina la Aden Mwakipesile mwenye umri wa miaka 49 mkazi wa kijiji cha Ibindi wilaya ya Mpanda Mkoani Katavi amekutwa amefariki kwa kujinyonga nyumbani kwake usiku wa kuamkia April 4. Mke wa marehemu Letisia Deus…
6 Aprili 2023, 8:46 mu
Serikali Kutatua Mgogoro wa Kagera Group Dhidi ya Wanakijiji Dirifu
MPANDA Serikali imehaidi kutatua mgogoro uliopo kati ya bodi ya kagera group na wanakijiji wa dirifu kata ya magamba ,manispaa ya mpanda mkoani katavi. Hayo yamesemwa na katibu tawala wa manispaa ya Mpanda Kenneth Pesambili akimwakilisha mkuu wa wilaya ya…
15 Machi 2023, 11:57 mu
Diwani Magamba atoa siku mbili kikundi cha Kagera Group kufanya uchaguzi
MPANDA Diwani wa kata ya magamba ametoa siku mbili kwa Uongozi wa kikundi cha kagera group kuwasilisha taarifa ya uendeshaji wa kikundi hicho ili kurahisisha agenda ya uchaguzi kuziba nafasi za viongozi waliovuliwa nyadhifa zao. Agizo hilo limetolewa na diwani…
9 Machi 2023, 12:39
Mkuu wa mkoa wa Dodoma atatua mgogoro wa wakulima na wafugaji
Mh. Rosemary Senyamule ametatua mgogoro wa wakulima na wafugaji wa vijiji vya Izava na Chitego vilivyopo katika wilaya za Kongwa na Chamwino. Na Alfred Bulahya. Mkuu wa mkoa wa Dodoma Mh. Rosemary Senyamule ametatua mgogoro wa wakulima na wafugaji wa…
4 Machi 2023, 5:49 um
Mbunge wa Mpanda Mjini ataka elimu kwa wachimbaji wadogo
MPANDA Mbunge wa jimbo la Mpanda mjini Sebastian Kapufi ameitaka sekta ya madini mkoani Katavi kutoa ELimu ya kutambua maeneo ya njia ya mtandao, nukta majira kwa wachimbaji wadogo wa madini ili kuondoa migogoro ya maeneo iliyoanza kujitokeza kwa wachimbaji…