Migogoro
23 September 2026, 16:32
Wazazi watakiwa kuimarisha malezi ya watoto kujenga jamii bora
Baadhi ya wadau wa maendeleo ya jamii wamesema wataendelea kushirikiana na wizara hiyo kuhakikisha watoto wanapata malezi bora, huku wakichangia katika ujenzi wa jamii imara na yenye ustawi. Na Anwary Shabani. Wazazi wametakiwa kuimarisha usimamizi na malezi ya watoto wao,…
19 September 2026, 12:37
WMA yawataka wananchi kuacha kununua kokoto na mchanga kwa ‘tripu’
WMA imewataka wananchi kutumia vipimo vinavyotambulika kisheria na kutoa taarifa pale wanapobaini ukiukwaji wa taratibu za vipimo, huku ikisisitiza kuwa matumizi ya vipimo sahihi ni muhimu katika kulinda haki za mnunuzi na muuzaji na kujenga biashara yenye uaminifu. Na Anwar…
7 September 2026, 17:09
Mfumo wa stakabadhi ghalani wawanufaisha wakulima Chemba
Mfumo huo umepanua masoko na kuwawezesha wakulima kupata fedha taslimu kwa haraka na kwa wakati, huku ukisaidia wilaya kupata mapato yake kwa urahisi. Wakulima wametakiwa kuendelea kutumia mfumo wa stakabadhi ghalani kwa kuzingatia ubora wa mazao na taratibu zilizowekwa ili…
7 September 2026, 16:26
Serikali yawekeza bil 67.9 kuboresha miundombinu ya TIA
Uwekezaji huo unaendelea kuonesha jitihada za Serikali katika kuimarisha miundombinu ya elimu ya juu na kuhakikisha taasisi za elimu zinakuwa na mazingira bora ya kutoa mafunzo yenye kukidhi mahitaji ya soko la ajira na maendeleo ya Taifa. Na Anwary Shabani. …
27 August 2026, 16:45
Tanzania kuwa na utoshelevu wa chakula 130% kufikia 2025/2026
TPHPA itaendelea kushirikiana na Serikali, wakulima, vijana, wanawake, wafanyabiashara, watafiti pamoja na taasisi mbalimbali za umma na binafsi, ikiwemo zisizo za Serikali, kuhakikisha udhibiti wa visumbufu unaimarishwa na Tanzania inakuwa na kilimo chenye tija na uzalishaji endelevu. Anwar Shabani, Tanzania…
18 August 2026, 16:40
Kaya maskini Dodoma kunufaika na TASAF
Utekelezaji wa mpango watatu unatarajiwa kugharimu dola za kimarekani Zaidi ya milioni 650 ambapo utanufaisha Zaidi ya kaya milioni 1.5 zenye uhitaji Tanzania bara na Zanzibar. Na Anwary Shaban. Kaya maskini jijini Dodoma zinatarajia kunufaika na mfuko wa maendeleo ya…
5 August 2026, 16:43
Mixx by Yas kuunga mkono juhudi za kuimarisha sekta ya tiba asili nchini
Kwa kutoa msaada huo wa mawasiliano, Mixx by Yas inaendelea kuonesha dhamira yake ya kushirikiana na taasisi mbalimbali katika kuboresha utoaji wa huduma na kuongeza ufanisi wa shughuli za maendeleo katika jamii. Na Anwar shabani. Kampuni ya Mixx by Yas…
29 July 2026, 17:05
Sekta za umma na binafsi zimetakiwa kushirikiana kuharakisha maendeleo
Mhe. Senyamule amesema usimamizi madhubuti wa miradi ya maendeleo, kuimarisha ushirikiano na sekta binafsi pamoja na kuzingatia misingi ya utawala bora ni nguzo muhimu zitakazochochea maendeleo ya Mkoa wa Dodoma na kuchangia kufikiwa kwa malengo ya Dira ya Taifa ya…
30 June 2026, 16:47
Sekta ya bima kuchangia asilimia 3 ya pato la taifa
TIRA inaendelea kusimamia sekta ya bima kwa kulinda maslahi ya wateja na kuimarisha huduma, ikiwa ni sehemu ya kufikia lengo la serikali la asilimia 3 ya Pato la Taifa ifikapo mwaka 2030. Na Bennard Filbert. Kufikia mwaka 2030, Serikali inalenga…
26 June 2026, 16:21
Serikali yaendelea kuchukua hatua kuimarisha huduma za ustawi wa jamii
Watu wenye ulemavu waliofikiwa wakiwa 3,266 lengo ni kuwajengea uwezo wazazi na walezi ili kuhakikisha watoto wanapata malezi bora. Na Mariam Matundu.Serikali imeendelea kuchukua hatua za kuimarisha ustawi wa watoto wanaoishi katika mazingira hatarishi kwa kuratibu vikao shirikishi vya kijamii…