Radio Tadio

Migogoro

6 September 2023, 11:46 am

Mke achukuliwa vitu vya ndani bila ya mume kujua, akidaiwa mkopo

Matukio ya watu waliochukua mikopo katika makampuni ya kukopesha fedha na kushindwa kurejesha fedha hizo yamekithiri, huku tukio la mke kukopa bila ya kumshirikisha mume na kushindwa kurejesha na kuchukuliwa vitu vya ndani limeacha watu vinywa wazi. Na Zubeda Handrish-…

24 August 2023, 8:39 am

Wakulima Kasokola walizwa na mifugo

MPANDA Baadhi ya wakulima katika kata ya Kasokola halmashauri ya manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wamelalamikia wafugaji kulisha mifugo kwenye mazao yao hali ambayo inawarudisha nyuma kiuchumi. Wamebainisha hayo katika mkutano wa hadhara mbele ya mkuu wa wilaya ya Mpanda…

18 August 2023, 10:06 am

Sakata bwawa la Milala lazidi kufukuta

MPANDA Wananchi wa kitongoji cha Bwawani mtaa wa Kigamboni wanaoishi pembezoni mwa bwawa la Milala mkoani Katavi wamelalamikia ucheleweshwaji wa fidia na taarifa kuhusu makazi yao, ambayo walisimamishwa kufanya shughuli zote za kimaendeleo. Wakizungumza na Mpanda Radio fm wananchi hao…

9 August 2023, 7:13 am

Kapufi aahidi kushughulikia mgogoro bwawa la Milala

MPANDA Baadhi ya wakazi wa kata ya Minsukumilo ambao walipisha kufanya shughuli za uzalishaji pembezoni mwa bwawa la milala wameomba kupata hatma yao mara baada ya kupisha uendelezaji. Wameyasema hayo wakati wa ziara ya mbunge wa Jimbo la Mpanda mjini…

30 June 2023, 10:29 am

Ajinyonga Katavi kisa ugomvi na mkewe

MPANDA Mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Ali Dodoma Shedrack[32] mkazi wa mtaa wa Msasani kata ya Mpanda Hotel manispaa ya Mpanda mkoani Katavi amekutwa amejinyonga nyumbani kwake huku chanzo cha tukio hilo likisadikika kuwa ni ugomvi kati yake na…

7 June 2023, 10:22 am

Wananchi Dirifu waomba ufafanuzi kuhusu RK

MPANDA Wananchi wa kijiji cha Dirifu wameuomba uongozi wa mkoa wa Katavi kutolea ufafanuzi juu ya uwepo wa mwekezaji (Raymond Kamtoni RK ) katika machimbo ya mlima wa kijiji hicho. Wakizungumza katika mkutano wa mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua…

18 April 2023, 1:24 pm

Migogoro baina ya viongozi Bolisa yazorotesha maendeleo

Katibu wa jumuiya ya wazazi wa chama cha mapinduzi wilayani humo amekemea mwenendo wa migogoro hiyo kwani itawagharimu katika uchaguzi ujao wa serikali za mitaa. Na Nizar Mafita. Migogoro na maslahi binafsi ya viongozi na wananchi katika Kata ya Bolisa…