Migogoro
6 September 2024, 9:03 pm
Nala kusahau adha ya maji
Na Mindi Joseph . Wakazi wa Nala wataondokana na changamoto mbalimbali zinazowakabili kwa sasa kutokana na kukosekana kwa huduma thabiti ya maji safi. Wakieleza kwa nyakati tofauti, gharama zianazowakabili ni pamoja na gharama kubwa ya kupata huduma ya maji toka…
31 July 2024, 5:48 pm
Mpangilio wa maendeleo katika mtaa wa Swaswa
Wataalamu wamekwisha kuwasili kwaajili ya kuanza maboresho mara moja. Na Yussuph Hassan.Na leo moja kwa moja katika kipindi chetu cha FAHARI YA DODOMA tumeangazia moja ya mtaa maarufu unaopatikana jijini Dodoma unaojulikana kwa jina la Swaswa ambao tumekwisha kuona asili…
16 December 2023, 5:23 pm
Zaidi ya Heka 6 za mahindi zafyekwa na serikali
Kufuatia agizo la manispaa ya Mpanda ambalo linazuia kulima mazao marefu katikati ya makazi ya watu zoezi la kufyeka mazao Kwa ambao walikaidi agizo hilolimeendelea. Na Mwandishi wetu – Mpanda Kufuatia agizo la manispaa ya Mpanda ambalo linazuia kulima mazao…
November 23, 2023, 12:24 pm
Waziri Silaa amaliza mgogoro wa mpaka kati ya Makete na Wanging’ombe
Kutokana na kudumu kwa muda mrefu kuhusu mpaka kati ya Makete na Wanging’ombe imetafutiwa ufumbuzi wa tatizo hilo ambao ulikuwa kizungumkuti. na Gift kyando Waziri wa Ardhi nyumba na maendeleo ya makazi mh Jerry Silaha hii leo ametatua mgogoro wa…
29 October 2023, 8:21 pm
TAKUKURU yaagizwa kumchunguza mkurugenzi wa Halmashauri ya mji wa Geita
Baraza la madiwani wa Halmashauri ya mji wa Geita limeonesha kutoridhishwa na utendaji kazi wa mkurugenzi wa halmashauri ya mji wa Geita. Na Mrisho Sadick – Geita Mkuu wa wilaya ya Geita Cornel Magembe ameiagiza taasisi ya Kuzuia na Kupambana…
26 October 2023, 8:47 pm
RC Mtanda; Wanaotakiwa kumaliza mgogoro huu ni wananchi wenyewe
Mkuu wa mkoa wa Mara Mhe Saidi Mohamed Mtanda amewataka wananchi wa Vijiji vya Mekomariro kutoka Wilaya ya Bunda na Remong’orori kutoka Wilaya ya Serengeti kuhakikisha wanakaa na kutafuta suluhu ya mgogoro unaoendelea. Na Adelinus Banenwa Mkuu wa mkoa wa…
23 October 2023, 11:55 am
Amuua kaka yake kisa shamba la urithi
Matukio ya mauaji ya watu wakigombea mali za urithi yameshamiri kwa mikoa ya Kanda ya ziwa hasa yakiwahusisha ndugu wa karibu, ambapo wananchi wamelimba jeshi la polisi kwa kushirikiana na asasi za Kiraia wanalojukumu la kuzidi kutoa elimu zaidi dhiidi…
14 October 2023, 11:20 am
Wananchi Kasokola wauomba uongozi kumaliza migogoro ya wafugaji, wakulima
Wananchi wa kitongoji cha Ivungwe B kata ya kasokola wameuomba uongozi wa kata hiyo kumaliza migogoro baina ya wafugaji na wakulima Na Ben Gadau – MpandaBaadhi ya wananchi wa kitongoji cha Ivungwe B kata ya kasokola wameuomba uongozi wa kata…
11 October 2023, 15:53
Mgogoro wa ardhi Mbeya wasababisha mapigano, polisi watumia mabomu
Jeshi la polisi limejikuta likitumia nguvu kwa kutumia mabomu ya machozi kuwaondoa wananchi hali iliyoleta taharuki ya mapigano kati ya wananchi na jeshi la polisi. Na Sifael Kyonjola Mtaa wa Gombe kata ya Itezi jijini Mbeya umegeuka uwanja wa mapambano…
4 October 2023, 12:12 am
Wilaya tatu Morogoro zanufaika na elimu ya msaada wa kisheria
wananchi wakifuatilia mafundisho kutoka kwa mwezeshaji wa Morogoro Paralegal Center – Picha Isidory Kituo cha msaada wa kisheria Morogoro Paralegal Center(MPLC), katika ziara ya uhamasishaji (outreach) kimebaini changamoto za kisheria kwa wakazi wilaya za Kilombero, Malinyi na Ulanga, ambao wanakabiliwa…