Radio Tadio

Maji

24 August 2023, 11:15 am

Wilaya ya Kilolo wasaini mradi wa maji wa bilioni 1.6

Na Frank Leonard WANANCHI katika Vijiji vitatu vya Wilaya ya Kilolo mkoani Iringa, wanatarajiwa kunufaika na mradi wa maji wa Masalali, Masege na Kihesa Mgagao ambao ujenzi wake unatarajiwa kuanza hivi karibuni ukigharimu zaidi ya Sh Bilioni 1.6. Kukamilika kwa…

15 August 2023, 9:55 am

Mabadiliko ya bei kuongeza upatikanaji wa maji Dodoma

Ongezeko hilo la bei za maji limechangiwa kwa kiasi kikubwa na mabadiliko ya kiuchumi duniani. Na Selemani Kodima. Baada ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA) Kuweka wazi mabadiliko ya bei za huduma za maji zitakazoanza kutumika…

8 August 2023, 3:22 pm

Wananchi waelimishwa utunzaji wa vyanzo vyanzo vya maji

Licha ya kuwepo kwa Sheria za Usimamizi wa vyanzo vya maji bado umekuwepo uharibifu wa vyanzo vya maji kutokana na kuwepo kwa shughuli za kibinadamu zinazofanyika pasipo kuzingatia Sheria zinazosimamia mazingira na rasilimali maji. Na Mindi Joseph. Mamlaka ya Maji…

2 August 2023, 2:59 pm

Mlimwa walalamikia upungufu wa huduma ya maji

Ngulelo amesema kuwa hali hiyo inawalazimu kutumia maji ambayo si safi na salama na kuiomba Serikali kuingili kati suala hilo. Na Victor Chigwada. Wananchi wa kijiji cha Mlimwa  wilayani Chamwino wamelalamikia changamoto ya upungufu wa huduma ya maji hali inayowapa…

1 August 2023, 4:17 pm

Mwananchi Mpendo anusuru vitongoji vitatu adha ya maji

Waswahili wanasema penye nia pana njia hivyo ndivyo Leonard Daudi amesaidia kutatua changamoto kubwa ya maji katika eneo lake. Na Mindi Joseph. Mwananchi mmoja katika kijiji cha Hamia kata ya Mpendo wilayani Chemba mkoani Dodoma amejitolea kuchimba kisima cha maji  na…

28 July 2023, 5:07 pm

Fahamu shughuli zinazofanyika bwawa la Hombolo

Je bwawa hili linawanufaisha vipi wakazi wa Hombolo hususani katika shughuli mbalimbali kama kilimo na uvuvi? Na Yussuph Hassan. Bwawa la Hombolo limekuwa likitumika na wakazi wa eneo hilo kwa ajili ya uvuvi wa samaki aina ya perege na wengine…

28 July 2023, 4:48 pm

Mradi wa maji Nzuguni sio porojo, wafika asilimia 76

Mradi wa Nzuguni unatarajiwa  kuongeza uzalishaji wa maji  kutoka wastani wa lita mlioni 68.7 mpaka milioni 76.3 kwa siku sawa na ongezeko la 11.4% ya uzalishaji wa sasa, na litapunguza mahitaji kwa 11.7% ya mahitaji ya sasa ya lita 133.4…