Kilimo
8 June 2022, 3:55 pm
WAKULIMA WA MPUNGA WAASWA KUTUMIA NJIA ZA KISASA KUHIFADHI MAZAO
Wakulima wa Mpunga mkoani Katavi wameaswa kutumia njia za kisasa za kuhifadhi zao hilo mara baada ya kuvuna ili waweze kuendana na utunzaji bora kwa manufaa ya zao hilo likiingia sokoni. Akizungumza na Mpanda radio fm afisa kilimo kata ya…
8 June 2022, 3:34 pm
ULEGA: TUMIENI MAFUNDISHO KULETA MABADILIKO KATIKA SEKTA YA MAZIWA NCHINI
Naibu waziri wa kilimo na uvuvi Abdala Ulega Amezitaka jamii mkoani Katavi kutumia mafundisho waliyoyapata katika maadhimisho ya wiki ya maziwa ili kuleta mabadiliko katika sekta ya maziwa nchini. Akizungumza wakati wa kufunga wiki ya maziwa mkoani hapa Ulega amesema…
5 May 2022, 2:00 pm
Wananchi watakiwa kutambua umuhimu wa Mbaazi
Na; Leonard Mwacha. Wananchi mkoani Dodoma wametakiwa kutambua umuhimu wa zao la mbaazi kuwa lina manufaa makubwa katika matumizi mbalimbali pamoja na biashara. Wito huo umetolewa na, Mkurugenzi wa wa asasi siyokuwa ya serikali SEIDA Bw. Fredrick Ogenga, kupitia warsha…
1 November 2021, 2:04 pm
Wiki ya AZAKI 2021
Wiki ya AZAKi 2021 ilianza tarehe 23 hadi 28 Oktoba katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre mjini Dodoma. Tukio hili ni moja ya mikusanyiko mikubwa ya Asasi za Kiraia nchini Tanzania. Tukio hili linalenga kuwaleta pamoja wanachama wakuu wa…
July 16, 2021, 7:32 pm
RC SENGATI AKUTANA NA WADAU KUPANGA MIKAKATI YA KUZUIA MAJANGA YA MOTO SHULENI…
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Dkt. Philemoni Sengati ameongoza kikao cha wadau kujadili mikakati ya namna ya kudhibiti majanga ya moto yanayotokea katika taasisi na shule mbalimbali. Kikao hicho kimefanyika leo Ijumaa Julai 16,2021 katika ukumbi wa ofisi ya Mkuu…
21 May 2021, 15:05 pm
Nyumba yateketea kwa moto
Na Karim Faida Wananchi wa mtaa wa Mmingano kata ya Tandika Manispaa ya Mtwara Mikindani mkoani hapa wameguswa na tukio la moto lililotokea Mapema Asubuhi ya leo ambapo nyumba ya Ndugu Sefu Bahili imeungua yote na hakuna kilichookolewa. Akiongea na…
19 May 2021, 1:26 pm
Wanawake waaswa kutokukata tamaa mitazamo hasi
Na; James Justine Jamii imetakiwa kutokuwa na mitazamo hasi kwa mambo mbalimbali wanayoyafanya wanawake katika kujiletea maendeleo na Taifa kwa ujumla. Akizungumza na Taswira ya habari mkurugenzi wa kikundi cha akinamama kinachojihusisha na kuwainua wanawake jijini Dodoma (WOMEN OF POWER) …
24 March 2021, 12:06 pm
Rais Magufuli aliutambua mchango wa wanawake katika uongozi
Na; Mariam Matundu. Viongozi wanawake jijini Dodoma wamesema watamkumbuka daima hayati Dkt.John Magufuli kwa kuwa aliwaamini wanawake na kuwapa nafasi mbali mbali za uongozi katika kipindi cha uongozi wake. Akizungumza na taswira ya habari mmoja wa madiwani wanawake Kata ya…