Radio Tadio

Kilimo

17 March 2023, 2:44 pm

WAKULIMA WA MPUNGA WAMPA KONGOLE BI MAIBA AFISA UMWAGILIAJI.

Na Amina Massoud Jabir Wakulima wa mpunga wa umwagiliaji bonde la Kindani na Machigini wilaya ya mkoani pemba wamepongeza juhudi zinazichokuliwa na kiongozi mwanamke katika kuwasimamia namna bora ya uzalisahji wa mazo yao. Wakizungumza na mwandishi wa habari hizi wakulima…

13 March 2023, 3:43 pm

Wananchi wilayani Bahi wasisitizwa kulima mtama

Mheshimiwa Godwin Gondwe amewaagiza wananchi wilaya ya Bahi kuhakikisha kila kaya inalima ekari mbili za mtama ili kuepuka adha ya kukosa chakula. Na Benard Magawa. Mkuu wa wilaya ya Bahi Mheshimiwa Godwin Gondwe amewaagiza wananchi wilayani humo kuhakikisha kila kaya…

9 March 2023, 12:57 pm

Vijana Wanufaika na Mashamba Kutoka Manispaa ya Mpanda

KATAVI Manispaa ya Mpanda imetoa mashamba kwa vijana ambao hawakuchaguliwa kushiriki  Mafunzo ya BBT-YIA (Building a Better Tommorow Youth initiative for agriculture ) yaliyo ratibiwa na wizara ya kilimo  na kutolewa  February  15 Mwaka huu jijini Dodoma. Afisa kilimo, mifugo…

March 6, 2023, 6:59 pm

Kikao Kazi kuelekea Kilimo cha Ngano Makete

Kikao kazi cha maafisa Ugani na Kilimo Halmashauri ya Wilaya ya Makete kitakachofanyika kwa siku mbili kimeanza leo katika Mkakati wa kuendeleza zao la Ngano Makete. Kikao hicho kimehudhuriwa na wadau mbalimbali wakiwemo wanafunzi 80 kutoka Chuo Kikuu cha Kilimo…

1 March 2023, 4:47 pm

TPHPA kudhibiti viuatilifu bandia

Matumizi Sahihi na Salama ya Viuatilifu yanalenga  kujali Afya ya Watu na Mazingira kwa maendeleo endelevu na Kulinda afya ya binadamu na mazingira kwa usimamizi endelevu na bora wa viuatilifu na afya ya mimea. Na Fred Cheti. Mamlaka ya Afya…