Radio Tadio

Kilimo

5 May 2023, 5:07 am

Wakulima Sungamila Wapata Hasara Sababu ya Mbolea

MPANDA Wakulima wa mahindi katika Kijiji cha Sungamila kata ya Kasokola manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wametaja mbolea ya msimu imewasababishia hasara katika kilimo hicho. Wakizungumza na Mpanda Redio FM kwa nyakati tofauti wakulima hao wamesema kuwa katika msimu huu…

5 May 2023, 5:04 am

Katavi Yataraji Kuzalisha Milioni 15.5 za Tumbaku

NSIMBO Mkoa wa Katavi unatarajia kuongeza uzalishaji wa zao la Tumbaku kwa msimu huu kwa kuzalisha jumla ya kilo Milioni 15. 5. Akizungumza wakati akitoa taarifa ya maendeleo ya kilimo cha Tumbaku Mkoa wa Katavi Meneja Mkoa wa Bodi ya…

1 May 2023, 4:53 pm

Wakulima wa Alizeti walalamika uzalishaji hafifu

Katika mwaka 2019/2020 uzalishaji wa alizeti nchini umefikia tani 649,437 ikilinganishwa na tani 561,297 kwa mwaka 2018/2019. Na Mindi Joseph. Wakati Mkoa wa Dodoma ukitegemewa zaidi katika uzalishaji wa mafuta ya alizeti wakulima wamesema mwaka huu uzalishaji wao ni hafifu.…

1 May 2023, 1:08 pm

Watanzania wahimizwa kutumia mbolea isiyo zeesha ardhi

Mbolea inayo zalishwa katika kiwanda hiki cha Intracom kinachopatikana katika kata ya Nala jijini Dodoma inatengenezwa kwa samadi za wanyama na haizeesha ardhi.  Na Fred Cheti Mkuu wa wilaya ya Dodoma Mh. Jabair Shekimweri amewataka wakazi wa Dodoma na watanzania…

28 April 2023, 3:11 pm

Zaidi ya hekari 6000 zatengwa kwaajili ya blockfarm Kongwa

Mkuu wa wialaya amewaomba madiwani kuwahimiza wananchi kuhusu suala la uhifadhi wa chakula hususani katika kipindi hiki Cha mavuno Kwani wengi wao wamekuwa wakiuza mazao Kwa kasi badala ya kuhifadhi kwaajili ya msimu ujao. Insert 2 sec 00:34 NA Bernadetha…

27 April 2023, 6:54 pm

Wakulima Kongogo waahidiwa mashine za kisasa

Na Mindi Joseph. Mbunge wa Jimbo la Bahi, Kenneth Nollo amewaahidi wakulima wa Kongogo kuwanunulia mashine za kisasa za kupandia mpunga pindi tu ujenzi wa skimu ya umwagiliaji utakapokamilika 2024. Akizungumza na Wakulima hao amesema wilaya ya bahi imekuwa ikizalisha…

27 April 2023, 5:52 pm

Mpunga Hatarini Kuharibika kwa Mvua

MPANDA Baadhi ya Wananchi wa Kata ya Mwamkulu manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wamehofia kuharibika kwa zao la mpunga uliopo shambani kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha. Wakizungumza na kituo hiki wamesema kuwa kuna hatari ya kupoteza mazao ya mpunga kutokana…